Hivi katiba mpya inapingwa na nani kama si ccm peke yao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi katiba mpya inapingwa na nani kama si ccm peke yao?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by drgeorge, Apr 8, 2011.

 1. d

  drgeorge Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kutafakari sana, tena kwa kina, Nionacho mimi, ni CCM kupinga kuandikwa kwa katiba mpya Tanzania. CCM ndio wanaojaribu hata kushawishi watanzania wasiolelewa katiba wasiunge mkono uandikwaji wa katiba mpya. Mswada waliouandaa kwa kweli ni aibu kubwa kwa wasomi wa CCM na waziri wa Katiba na sheria, angekuwa mama yangu ningegoma kula mpaka ajiuzulu. Mheshimiwa wa Propaganda, Tambwe hiza asababisha madudu kwenye Publoic Hearing!

  Swali langu, ikiwa CCM wataendelea na roho hii ngumu ya kutowajali watanzania ambao sasa wanaamka, nini kitatokea? Wananchi tufanye nini kwa sasa? Naombeni mawazo yenu waungwana.
   
Loading...