Hivi kati ya nyama ya bata na kuku ipi tamu?

Black jew

Senior Member
Sep 4, 2017
121
222
Nimekaa waungwana nikasema mnisaidie kati ya hao ndege wawili ni yupi kati yao nyama yake inashikia hatamu kwa utamu?
 
Tatzo bata ana kaharufu kakali sana,yaan hafai,ndomana watu wanakula kuku,na wanafuga sana kuku.angekua mtam angefugwa sana,...

Nilipikiwa ubwabwa na mchuz wa bata na beibe,yaan hata skumaliza vijiko kadhaa nkaacha msos,alichukia,nkazuga nimejingata
 
Kuku ndio mkuu wa nyumba. Ukiingia nae tu kooooohh kooooh kyoooooh. Hata majirani wanajua. Bata kimya kimya.

Ukitaka kuchinja kuku utasikia kwe kwe kwe kwe khooooooh khooooh majirani wanajua huko leo kuku analiwa. Bata ukitaka kumchinja yupo kimya. Arrgghhh!

Kuku ndio mpango mzima
 
Back
Top Bottom