Hivi kati ya Nassari na Sioi nan mwanasiasa?

Godyp

Senior Member
Oct 20, 2011
182
56
Hivi kati Nassari na Sioi nan mwanasiasa maana nimekuwa nafuatilia kampen zao kuna mmoja kati ya hawa anaoneka
kuongea straight yaan anaelezea sera moja kwa moja,
Af mwingine anaonekana kupewa support kubwa sana ya kuongea?
Nawasirisha hoja!!!!
 
SIOI aendelee kusubiri tu maana NASARI ana kila dalili kuwa anaweza na sio kubebwa bebwa...Namuomba mwenyezi mungu amuwezeshe NASARI kushinda kwa KURA nyingi zaidi ya wote anaoshindana nao
 
Analysis ya uwezo wa Hawa wawili ni muhimu tunashukuru kwa kutuwekea hapa wale wanaowaona na kuwasikia watujulishe. Tujue tunapata mwanasiasa au mzigo.
 
Hivi kati Nassari na Sioi nan mwanasiasa maana nimekuwa nafuatilia kampen zao kuna mmoja kati ya hawa anaoneka
kuongea straight yaan anaelezea sera moja kwa moja,
Af mwingine anaonekana kupewa support kubwa sana ya kuongea?
Nawasirisha hoja!!!!

wote ni wanasiasa kutokana na falsafa kuwa '......HUMAN BEING ARE POLITICAL ANIMALS....'
 
mwanasiasa ni Joshua Nassari anauwezo mkubwa wa kujenga hoja tofautu na sioi ambaye ni almost kafanyiwa kampeni.
 
Hivi kati Nassari na Sioi nan mwanasiasa maana nimekuwa nafuatilia kampen zao kuna mmoja kati ya hawa anaoneka
kuongea straight yaan anaelezea sera moja kwa moja,
Af mwingine anaonekana kupewa support kubwa sana ya kuongea?
Nawasirisha hoja!!!!
Mkuu si unajua tena huyu Bwana Sioi kawekwa kugombea ubunge na mkwe wake na CCM, ki ukweli kabisa hana record yoyote ya uwanasiasa!!!!! Bwana Nassari aligombea ubunge pomoja na baba yake huyu Bwn Sioi hiyo inakupa picha halisi kuwa Bwana Sioi kama sio kubebwa alikuwa hana mpango kabisa wa kugombea ubunge Arumeru, yeye kalazimishwa tuu!!! Wala hajiamini na kitu anacho kifanya anaona kama the COMEDY tuu, apate akose hana shida yoyote!!!!

Sasa kama nimepata picha hili swala nilifikiri mm tu ndo nimeliona! Sas hapa tunapata picha gani? Walikosa mgombea wa kumuweka mpaka wakaamua kumpigia kampen mtoto wa wazir au ndo biashara za kuachiana madaraka?
 
Hivi kati Nassari na Sioi nan mwanasiasa maana nimekuwa nafuatilia kampen zao kuna mmoja kati ya hawa anaoneka
kuongea straight yaan anaelezea sera moja kwa moja,
Af mwingine anaonekana kupewa support kubwa sana ya kuongea?
Nawasirisha hoja!!!!

mkuu mbona hoja yako sijaielewa? Inaonekana unamjua mmoja ana sifa hizi kisiasa na mwingine ana sifa zile kisiasa kwanini usingeziweka zote hapa na ukasema siyoi anazo hizi na nassari anazo hizi kwa mtazamo wangu kama vile unauliza kitu unachokijua.
 
Sioi amewekwa pale kwa sababu ni yatima, anatakiwa awe mbunge ili alee familia iliyoachwa na marehemu baba yake
Source: hoja thabiti za mikutano ya chama chetu tawala.
nassar-mwinjilist fulani hv. Siyoi ndo mwanasiasa.
 
mkuu mbona hoja yako sijaielewa? Inaonekana unamjua mmoja ana sifa hizi kisiasa na mwingine ana sifa zile kisiasa kwanini usingeziweka zote hapa na ukasema siyoi anazo hizi na nassari anazo hizi kwa mtazamo wangu kama vile unauliza kitu unachokijua.

kaka kama kuacha mke hayo yanakua mawazo yako lkn si unaenda kuomba ushaur ili hali hukumu unayo nafsini mwako! Si ndivyo af unashauriwa cha kufanya?
Ni kwel jibu nilikuwa nalo lkn nilitaka kupata mawazo toka kwenu kwa nikwel ninachofikiria?
Nikiamin hapa ndo GRITI THINKA
 
Hilo sio swali ni jibu tuu. Nasari ndie mwanasiasa wa kweli na Sioi sio!.

Ila pia kuwa kiongozi sio lazima uwe mwanasiasa. Mwinyi hajuwa mwanasiasa na ameongoza nchi!. Karume sio mwanasiasa na Seif ni mwanasiasa, wamegombea mara mbili na zote Karume kashinda.

Pamoja na Sioi kuwa sio mwanasiasa ila ndiye atakayeshinda!.

Rostam tangu ameingia bungeni, hajawahi kuuliza swali lolote wala kuchangia hoja yoyote na amekuwa akiendelea kuchaguliwa mpaka alipojivua gamba mwenyewe!.

Mule bungeni kuna wabunge ni wanasiasa wazuri na mahiri, na kuna wabunge ni vilaza wa kutupwa, vichwani hawana kitu kabisa na wengine ni vichaa kabisa bahati yao hawajapimwa akili!.

Ila pia kuwa na uwezo wa kujieleza ni jambo moja na kuwa na uwezo wa kutekeleza ni jambo jingine. JK ni mzuri sana kujieleza "maisha bora kwa kila Mtanzania" lakini angalia utekelezaji wake, sifuri!.

Pia uwezo wa kijieleza sio akili wala sio smartness upstairs, watu wengi wenye uwezo mzuri kujieleza sio lazima wawe smart, wengine ni wazuri kubwabwaja tuu lakini vichwani ni watupu na utekelezaji ni zero!.

Sioi sio mzuri kujieleza ila kichwani yuko fit na ni smart kuitekelezaji!.
 
Back
Top Bottom