Hivi kati ya mzungu na Mchina nani bora?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Hivi kati ya mzungu na Mchina nani ndo tapeli?

Kwangu mimi mchina so mtu mzuri ata kidogo awa watu ni matapeli wakubwa Tena

Nishaga wahi kufanya kazi kwenye restaurants ya wachina. Waka ni zurumu pesa zangu. Kwa kunidanganya kuwa wata kuwa wana ni lipa kidogo kidogo ili wasiwe wanakatwa taxi nyingi na serekali

Yaani kwa wiki mbili ni kitumika masaa 50 ni Kama dollar 1300 wao Wana ni lipa 750 au 800 zile zingine Wana kudanganya wata kulipa nazo mwisho wa mwaka yaani zote.

Nilivyo acha kazi ndugu yangu nikaomba pesa zangu wanilipe dah awa watu sio wazuri sikupewa ata Mia zile walizo kuwa Wana ni kata kwa kudanganya wata kuwa wana kulipa kidogo kidogo awa watu so wazuri kabisa.

Walivyo ni danganya eti wao wanalipa kwa chaque kumbe walikuwa Wana kimbia kukuhingizia pesa ndani ya bank yako ili kukimbia ushahidi

Ila mzungu ata ukiwa una mdai 1$ ata kulipa Tena kwa wakati Mzungu achukuwagi pesa za mtu kabisa labda akuchukuwe kwa wizi you didn't see alivyo chukuwa kitu icho Lakini Kama uliona my bro Tambuwa atakupa.

Sio mchina ni tapeli saana
 
Huu msemo tuliwahi kuutumia zamani sana! Jibu rahisi ni kwamba hakuna aliye bora.
 
Naona kila mmoja ni bora kwa upande wake ila ungeliweka na Mwafrika kidogo na sisi tujifariji naamini zingeshuka nondo hatari hasa UCHAWI
 
Back
Top Bottom