Hivi kati ya Korede Bello na Kizz Daniel nani mkali wa kuimba?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe juu yenu wakuu

Kuna vijana wawili wakali kutoga Lagos KIIS Daniel na korede bello hawa wasanii wote ni wakali Wa na saut zao huwa ni noma sana

Je nan ni mkali kuliko mwenzake

Je korede bello ndo mkali au kiss Daniel ndo mkali Wa mwenzie

Kiss Daniel


Korede bello
Kiss-Daniel-Naijaurban2.jpeg
Korede-bello-main-640x379.jpeg
 
Kiss Daniel ni habari nyingine ..
Belo anajua ila kiss Daniel anajua zaidi
 
Hizo zama zilikuwa zao wote Mana kila mmoja wao alifanya kitu cha muhimu na maana kwelikweli
 
Back
Top Bottom