Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,415
- 21,110
Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Jose Chameleone net worth $ 5 million.Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Mbona unaamtaja taja mke wangu nan kakupa kibali?Shunie
Bora Umesema weeMbona unaamtaja taja mke wangu nan kakupa kibali?
Kumbe ww unaangalia nyumba south sasa mwenzako alioa mzunguChameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
ruksa ya nini?Kumbe rukhsa?
wordNimeanza kumsikia Jose Chameleone akiwa tayari katika ' game ' huko huko Kwao Uganda miaka ya mwanzoni kabisa ya 2000 tena akiwa tayari ni very ' celeb ' huku Diamond nimeanza kumsikia akianza kuhangaika mwaka 2010 na kuja kuanza ' kutusua ' miaka miwili tu iliyopita. Kumfananisha ' Nguli ' Jose Chameleon na Diamond ni sawa sawa na leo hii utake kumshindanisha Zinedine Yazid Zidane na Paul Pogba. Utajiri alionao leo Diamond mwenzake Jose Chameleone alikuwa nao tayari miaka 10 hadi 12 iliyopita.
Mkuu, wakati mwingine huwa siwaelewi kabisa hawa jamaa na lugha zao, anawezaje ambaye ni timamu kabisa upstairs kupost maneno kama hayo kwenye public?Sorry ila hizi sio lugha za kutumia JF
Kweli kati ya watu wanne mmoja ni kichaasio kila kitu kinahitaji mlinganisho-ni bora ungeuuliza diamond na Chamelione nani ana do.mo kubwa ungeeleweka!
Mambo mengne muwe mnafanya research ndo mnalopoka hujui kuwa chameleon ashawahi kufanya collable na davido......fikra za kimaskin ndo zinatutafuna wa tzword
na hajawahi wala hataki kupiga kolabo na wapopo,mziki wake unatambulika kama yeye hakuna ujanja ujanja,Legend Chameleone
Izo habari umezipataje kama hakuongea...???kwenye mali mtachemsha jamaa ana ndinga kali zote uzijuazo mpk juzi kaamua kuchukua mercedes old ya miaka ya 70,wrangler,ferrari,jeeprange anamiliki,sa ingine muache kelele kuna wanamuziki wana hela chafu hawaongei na show zao wanapiga kimya kimya.
Kuanza kumsikia mtu zamani si kigezo cha kumfanya awe na pesa ndefu.Nimeanza kumsikia Jose Chameleone akiwa tayari katika ' game ' huko huko Kwao Uganda miaka ya mwanzoni kabisa ya 2000 tena akiwa tayari ni very ' celeb ' huku Diamond nimeanza kumsikia akianza kuhangaika mwaka 2010 na kuja kuanza ' kutusua ' miaka miwili tu iliyopita. Kumfananisha ' Nguli ' Jose Chameleon na Diamond ni sawa sawa na leo hii utake kumshindanisha Zinedine Yazid Zidane na Paul Pogba. Utajiri alionao leo Diamond mwenzake Jose Chameleone alikuwa nao tayari miaka 10 hadi 12 iliyopita.
Mtoto wa chameleon ni nobody, watoto wa diamond ni big celebrities hata yule ambae hajazaliwa,tiffa anakula endorsements!Kumbe ww unaangalia nyumba south sasa mwenzako alioa mzungu
Kwahiyo kuanza zaman game ndio kuwa na hela nyingi? Sikujua kama nawewe ni killaza hivoNimeanza kumsikia Jose Chameleone akiwa tayari katika ' game ' huko huko Kwao Uganda miaka ya mwanzoni kabisa ya 2000 tena akiwa tayari ni very ' celeb ' huku Diamond nimeanza kumsikia akianza kuhangaika mwaka 2010 na kuja kuanza ' kutusua ' miaka miwili tu iliyopita. Kumfananisha ' Nguli ' Jose Chameleon na Diamond ni sawa sawa na leo hii utake kumshindanisha Zinedine Yazid Zidane na Paul Pogba. Utajiri alionao leo Diamond mwenzake Jose Chameleone alikuwa nao tayari miaka 10 hadi 12 iliyopita.