Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?

Nimeanza kumsikia Jose Chameleone akiwa tayari katika ' game ' huko huko Kwao Uganda miaka ya mwanzoni kabisa ya 2000 tena akiwa tayari ni very ' celeb ' huku Diamond nimeanza kumsikia akianza kuhangaika mwaka 2010 na kuja kuanza ' kutusua ' miaka miwili tu iliyopita. Kumfananisha ' Nguli ' Jose Chameleon na Diamond ni sawa sawa na leo hii utake kumshindanisha Zinedine Yazid Zidane na Paul Pogba. Utajiri alionao leo Diamond mwenzake Jose Chameleone alikuwa nao tayari miaka 10 hadi 12 iliyopita.
 
word
na hajawahi wala hataki kupiga kolabo na wapopo,mziki wake unatambulika kama yeye hakuna ujanja ujanja,Legend Chameleone
 
kwenye mali mtachemsha jamaa ana ndinga kali zote uzijuazo mpk juzi kaamua kuchukua mercedes old ya miaka ya 70,wrangler,ferrari,jeeprange anamiliki,sa ingine muache kelele kuna wanamuziki wana hela chafu hawaongei na show zao wanapiga kimya kimya.
 
Sorry ila hizi sio lugha za kutumia JF
Mkuu, wakati mwingine huwa siwaelewi kabisa hawa jamaa na lugha zao, anawezaje ambaye ni timamu kabisa upstairs kupost maneno kama hayo kwenye public?

I guess tatizo ni frustrations kama wako timamu!!!
 
Nimeanza kumsikia Jose Chameleone akiwa tayari katika ' game ' huko huko Kwao Uganda miaka ya mwanzoni kabisa ya 2000 tena akiwa tayari ni very ' celeb ' huku Diamond nimeanza kumsikia akianza kuhangaika mwaka 2010 na kuja kuanza ' kutusua ' miaka miwili tu iliyopita. Kumfananisha ' Nguli ' Jose Chameleon na Diamond ni sawa sawa na leo hii utake kumshindanisha Zinedine Yazid Zidane na Paul Pogba. Utajiri alionao leo Diamond mwenzake Jose Chameleone alikuwa nao tayari miaka 10 hadi 12 iliyopita.
Kuanza kumsikia mtu zamani si kigezo cha kumfanya awe na pesa ndefu.
Kuna watu wameanza game kitambo lakini wanapitwa mpunga na walioanza game miaka minne iliyopita.
 
Nimeanza kumsikia Jose Chameleone akiwa tayari katika ' game ' huko huko Kwao Uganda miaka ya mwanzoni kabisa ya 2000 tena akiwa tayari ni very ' celeb ' huku Diamond nimeanza kumsikia akianza kuhangaika mwaka 2010 na kuja kuanza ' kutusua ' miaka miwili tu iliyopita. Kumfananisha ' Nguli ' Jose Chameleon na Diamond ni sawa sawa na leo hii utake kumshindanisha Zinedine Yazid Zidane na Paul Pogba. Utajiri alionao leo Diamond mwenzake Jose Chameleone alikuwa nao tayari miaka 10 hadi 12 iliyopita.
Kwahiyo kuanza zaman game ndio kuwa na hela nyingi? Sikujua kama nawewe ni killaza hivo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom