Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

Guys mambo vp. poleni na majukumu ya hapa na pale. Nna swali dogo tu. Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap(hip hop kwa ujumla)
Nachojua hakuna rapper mkali kwenye rhymes ka eminem....+ jigger n mkali na kachange game ya hippop kwny swala la mshko ila kwa eminem swala la michano uwakilishe wawili...ni simpo eminem anatoka na ushindi
 
Back
Top Bottom