Hivi kati ya corona virus na hunger virus nani anaua haraka

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
698
Mimi ni mtoto mdogo sana lakini namshukuru Mungu amenipa uwezo wa kuchakata mambo kwenye ubongo.

Ndugu zangu, kuwaambia watanzania wakae tu nyumbani kwasababu ya CORONA ni hatari sana kwasababu uchumi wetu upo chini sana hatuwezi kujilinganisha na majirani na marafiki zetu wa Mataifa mengine.

Watanzania watakufaa njaa, uchumi utaporomoka na tutabakia maskini wa kutupwa. Tuacheni kuiga Mataifa ya ulaya na Asia ambao walisha endelea. Na kuna watanzania ambao wanakula wanacho kipata, yaani anategemea apate elfu ndio ale na watoto wake.

Kwa hiyo kwa level ya uchumi wetu hatua zilizo chukuliwa na Rais zipo sahihi kwa asilimia 100.
 
Serikali inatakiwa kuhakikisha wananchi wake hawafi kwa njaa kwa kuwagawia chakula na vinywaji bure kama gawio la kodi zao.
 
Mara ya mwisho umesikia mtu kafa kwa ajili ya Hunger Virus ni lini ? Lakini Corona je?
 
Back
Top Bottom