Hivi kati ya CCM na CHADEMA nani walaghai kwa taifa hili?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Nianze na ccm ccm imekuwa madarakani toka nchi hii ipate uhuru na tangu kipindi chote ccm imekuwepo madarakani imeshindwa kabisa kuwajibika ipasavyo kumaliza hata tatizo la maji na afya ambazo ndiyo msingi wa maisha ya binadamu badala yake kufanya ahadi hewa kila chaguzi zake.

Ccm tangu nchi ipate uhuru imeshindwa kabisa kusimamia rasilimali za taifa yakiwemo madini ili kuweza kuwanufaisha wazawa badala yake imekuwa ikiwathamini zaidi wageni kutoka ulaya na America kwa kuingia nao mikataba mibovu yenye hasara kwa taifa letu.wameshindwa kudhibiti mianya ya rushwa iliyopo ndani ya chama na serkali kwa ujumla wake.

Ccm wametufanya kuwa taifa la omba omba wakati vitu vya kutufanya tujitegemee tunavyo vingi Mungu ametujaalia kila aina ya vivutio lakini tunashindwa kuvitumia kutokana mfumo mbovu uliyosababishwa na ccm.miradi ya maendeleo haitekelezeki kwa asilimia 100 kwa sababu usimamizi mbovu unaofanywa na ccm wamepora viwanja vya wananchi na kuvifanya mali za chama kila mkoa ukienda utakuta uwanja wa ccm jiulize walivitoa wapi walinunua kwa nani.wananchi tumebaki kudanganywa kila kukicha wakulima hawaesabiki tena wanahaha pa kuuzia mazao yao leo ccm inavaa ngozi ya uzalendo huo uzalendo unatoka wapi?

Nije kwa upande wa chama cha demkrasia na maendeleo chadema.

Chadema ni chama ambacho hakijapata ridhaa ya kuweza kuongoza nchi lakini viongozi wake waliyo wengi wamekuwa mstari wa mbele kuona madhaifu yaliyopo serkalini na kuyafichua bila woga viongozi hawa wameibua ufisadi wa kila aina uliyopo serkalini wamekuwa wakipinga waziwazi ukiukwaji wa kanuni,sheria na taratibu zinazokiukwa katika taifa hili iwe za manunuzi yasitofuata utaratibu wa kisheria.

Nimeishia hapo kazi yako kutafakari nani mlaghai wa nchi hii ni yule anayeongoza au ambae hajawahi kupata ridhaa ya kuongoza kazi kwenu.
 
Kuwachukulia serious ccm kuwa wanania njema na taifa hili ni sawa na kuchoma mahindi kwa mwanga wa mbalamwezi ukitarajia mahindi kuiva

Ccm ni zaidi ya ibilisi mkuu, ccm hawa hawa ndio wanashabikia mauaji ya polisi dhidi ya raia kwa hoja nyepesi kabisa kuwa hata kwenye mapenzi watu hufa sembuse polisi!!

Hawa hawa ccm wanaolitia hasara taifa kwa mabilioni ya tsh kwa chaguzi za kutengeneza!

Ccm kwa nchi za watu wenye akili timamu ingekuwa iko makumbusho kwa wakati huu
 
Ccm ni walaghai. Na ulaghai mbaya zaidi wanaofanya ni kwenye chaguzi. Matokeo yake wananchi hawana haki wala fursa ya kuchagua wawakilishi wanaowataka kwa uhuru. Umesikia tamko la ccm huko mbeya mjini? Eti hawataki chaguo la wananchi kwa nafasi ya mbunge!
 
Nianze na ccm ccm imekuwa madarakani toka nchi hii ipate uhuru na tangu kipindi chote ccm imekuwepo madarakani imeshindwa kabisa kuwajibika ipasavyo kumaliza hata tatizo la maji na afya ambazo ndiyo msingi wa maisha ya binadamu badala yake kufanya ahadi hewa kila chaguzi zake.

Ccm tangu nchi ipate uhuru imeshindwa kabisa kusimamia rasilimali za taifa yakiwemo madini ili kuweza kuwanufaisha wazawa badala yake imekuwa ikiwathamini zaidi wageni kutoka ulaya na America kwa kuingia nao mikataba mibovu yenye hasara kwa taifa letu.wameshindwa kudhibiti mianya ya rushwa iliyopo ndani ya chama na serkali kwa ujumla wake.

Ccm wametufanya kuwa taifa la omba omba wakati vitu vya kutufanya tujitegemee tunavyo vingi Mungu ametujaalia kila aina ya vivutio lakini tunashindwa kuvitumia kutokana mfumo mbovu uliyosababishwa na ccm.miradi ya maendeleo haitekelezeki kwa asilimia 100 kwa sababu usimamizi mbovu unaofanywa na ccm wamepora viwanja vya wananchi na kuvifanya mali za chama kila mkoa ukienda utakuta uwanja wa ccm jiulize walivitoa wapi walinunua kwa nani.wananchi tumebaki kudanganywa kila kukicha wakulima hawaesabiki tena wanahaha pa kuuzia mazao yao leo ccm inavaa ngozi ya uzalendo huo uzalendo unatoka wapi?

Nije kwa upande wa chama cha demkrasia na maendeleo chadema.

Chadema ni chama ambacho hakijapata ridhaa ya kuweza kuongoza nchi lakini viongozi wake waliyo wengi wamekuwa mstari wa mbele kuona madhaifu yaliyopo serkalini na kuyafichua bila woga viongozi hawa wameibua ufisadi wa kila aina uliyopo serkalini wamekuwa wakipinga waziwazi ukiukwaji wa kanuni,sheria na taratibu zinazokiukwa katika taifa hili iwe za manunuzi yasitofuata utaratibu wa kisheria.

Nimeishia hapo kazi yako kutafakari nani mlaghai wa nchi hii ni yule anayeongoza au ambae hajawahi kupata ridhaa ya kuongoza kazi kwenu.
Chadema wanawalaghai watanzania eti wanaweza kuongoza nchi kitu ambacho ni uongo kabisa. Kazi kuu ya Chadema na wapinzani wengine ni kuifanya CCM isilale usingizi na si kushika Dola. Ndio sababu wanashiriki chaguzi ndogo wakijua hawashindi, je kuna ULAGHAI zaidi ya huo?!!
 
Chadema ndiyo waongo kuliko wote duniani.. waliwaaminisha Lowassa ni fisadi papa mpaka wakakufuru kwa Mungu lakini baadae wakamuomba aje kugombea Urais kupitia Chadema na wakamsafisha kwa mapovu ya Omo hadi wakaondoa orodha ya mafisadi kwenye tovuti yao. Umeona uongo wao eeeh!!
 
Nianze na ccm ccm imekuwa madarakani toka nchi hii ipate uhuru na tangu kipindi chote ccm imekuwepo madarakani imeshindwa kabisa kuwajibika ipasavyo kumaliza hata tatizo la maji na afya ambazo ndiyo msingi wa maisha ya binadamu badala yake kufanya ahadi hewa kila chaguzi zake.

Ccm tangu nchi ipate uhuru imeshindwa kabisa kusimamia rasilimali za taifa yakiwemo madini ili kuweza kuwanufaisha wazawa badala yake imekuwa ikiwathamini zaidi wageni kutoka ulaya na America kwa kuingia nao mikataba mibovu yenye hasara kwa taifa letu.wameshindwa kudhibiti mianya ya rushwa iliyopo ndani ya chama na serkali kwa ujumla wake.

Ccm wametufanya kuwa taifa la omba omba wakati vitu vya kutufanya tujitegemee tunavyo vingi Mungu ametujaalia kila aina ya vivutio lakini tunashindwa kuvitumia kutokana mfumo mbovu uliyosababishwa na ccm.miradi ya maendeleo haitekelezeki kwa asilimia 100 kwa sababu usimamizi mbovu unaofanywa na ccm wamepora viwanja vya wananchi na kuvifanya mali za chama kila mkoa ukienda utakuta uwanja wa ccm jiulize walivitoa wapi walinunua kwa nani.wananchi tumebaki kudanganywa kila kukicha wakulima hawaesabiki tena wanahaha pa kuuzia mazao yao leo ccm inavaa ngozi ya uzalendo huo uzalendo unatoka wapi?

Nije kwa upande wa chama cha demkrasia na maendeleo chadema.

Chadema ni chama ambacho hakijapata ridhaa ya kuweza kuongoza nchi lakini viongozi wake waliyo wengi wamekuwa mstari wa mbele kuona madhaifu yaliyopo serkalini na kuyafichua bila woga viongozi hawa wameibua ufisadi wa kila aina uliyopo serkalini wamekuwa wakipinga waziwazi ukiukwaji wa kanuni,sheria na taratibu zinazokiukwa katika taifa hili iwe za manunuzi yasitofuata utaratibu wa kisheria.

Nimeishia hapo kazi yako kutafakari nani mlaghai wa nchi hii ni yule anayeongoza au ambae hajawahi kupata ridhaa ya kuongoza kazi kwenu.
Naunga mkono hoja tatizo ni kuwachukua walaghai wakuu wawili katika nchii lowassa na sumaiye!
 
Chadema wanawalaghai watanzania eti wanaweza kuongoza nchi kitu ambacho ni uongo kabisa. Kazi kuu ya Chadema na wapinzani wengine ni kuifanya CCM isilale usingizi na si kushika Dola. Ndio sababu wanashiriki chaguzi ndogo wakijua hawashindi, je kuna ULAGHAI zaidi ya huo?!!
Sio kwamba CHADEMA ni walaghai, ila wanahujumiwa sana na ccm. Na haiingii skilini kuona ccm wanakubali ulaghai wa kukubali madiwani au wabunge wajiuzulu au wajitoe toka CHADEMA na kusababisha uchaguzi wa marudio, ambapo hutumia hila na kila aina ya hujuma kuona wanashinda(ccm) chaguzi za marudio. Haihitaji elimu ya chuo kikuu kutambua kuwa marudio ya chaguzi hizi gharama kubwa na fedha ya walipa kodi hutumika bure. Na hapa watu makini wanasbindwa kutambua nini hasa nia ya ccm kuvuruga chaguzi hizi kwa mustakali wa nchi yetu kwa siku za usoni. Je, ccm wa nia ya dhati kweli ya kujenga Tanzania yenye mfumo wa vyama kwa mujibu wa katiba yetu JMT??
 
Ati watamfufua marehemu Daudi Balali huo ndio ulaghai ulioishangaza dunia.
 
Eti Lowassa ni Ffisadi halafu eti sio fisadi huo ni ulaghai wa kiwango dreamliner.
 
Back
Top Bottom