Hivi karne hii Mapenzi ni lazima kushea jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi karne hii Mapenzi ni lazima kushea jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penelope, Oct 1, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Jamani hivi kushea ni lazima sana kwenye mapenzi?Kama ni lazima basi kwa nini hatuzoei ili mtu ukitendwa tena na tena usiumie?
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ah yani nizoee kutendwa?ah jamani kisa na mkasa cha kujiumiza !kumpendwa haimaanishi utese na kupenda haina maana uteseke! Penelope vp dear?hebu funguka zaidi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...