Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 511
Hii ni kwa wapenzi na wafuatiliaji wa The story book kutoka wasafi fm!
Hawa jamaa walianza vizuri sana na hichi kipindi chao lakini lakini saizi kipindi kinazidi kupoteza mvuto, baada ya kuanza kutuchanganyia sauti kwenye usimuliaji wa stori.
Wengi tumekipenda kipindi ni kwasababu ya sauti ya MTIGA ABDALAH (huyu jamaa kiukweli kabarikiwa sauti katika usimuliaji). Stori zingine tunazijua lakini akisimulia huyu jamaa masikio yako lazima yatataka kuisikiliza tu.
The story book iliyo pita Mtiga Abdalah hakusimulia yeye, kiukweli sauti ilikuwa ni mbaya sana (kama ya mzimu) baada ya kuona watu wame idisi sana na kuiponda sana basi kwenye the story book ya leo 27/01/2020 wamekuja na sauti ya msimuliaji aitwaye JAMALY APRIL lakini bado mvuto hakuna.
Ukitaka Ku prove haya ninayo yasema ingia kwenye account ya Instagram ya MtigaAbdalah_ ujionee watu ambavyo hawajafurahishwa na the story book mbili zilizopita.
Mkiendelea kutuchanganyia sauti basi mjue na sisi ndio mnazidi kutupoteza mdogomdogo ( mimi binafsi huwa nafuatilia sana the story book kupitia YouTube mkiendelea hivi ndo nawaweka pending mdogomdogo).
TUNAOMBA UONGOZI WA WASAFI FM MTIGA ABDALAH AENDELEE KUWA MSIMULIAJI WA THE STORY BOOK NA JAMALY_APRIL AENDELEE KUWA MUANDAAJI WA THE STORY BOOK.
NATEGEMEA KIPINDI KIJACHO CHA SIKU YA JUMATANO TUTAISIKIA SAUTI YA MTIGA ABDALAH, MAANA TAYARI ISHA KAA KWENYE MASIKIO YETU, NI HAYO TU KAZI KWENU WASAFI MEDIA
#Swizzy