Hivi kama ungekuwa jinsia tofauti ya uliyoayo, ungefanya nini ambacho wao hawaitendei haki jinsia hiyo?

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,514
2,732
Hi, za mda huu jamani hapa

Niende kwenye mada. Sio rahisi sana kukuta mwanaume anasema 'kama nigekuwa mwanamke nigefanya hivi na vile kwa mwanaume' lakini siku moja nilikuwa kwa mshona nguo mmoja mwanaume, ile katika kuongea akasema endapo kama angekuwa mwanamke basi angehakikisha kila anapohitaji mwanaume anampata kwa wakati.

Lakini akaeda mbali zaidi akasema na angekuwa anafanya baadhi ya mambo ya kumkasirisha mwanaume makusudi lakini akiingia chumbani anaanza kumtega hadi acheke na wanamalizana kwa staili hiyo.

Kitu ambacho yeye anaona hawafanyi kwa ubora.

Kwa upande wa wanawake, ni wengi huwa wanatamani kama wagekuwa wanaume wangefanya baadhi ya vitu ambavyo wanaume hawavitendei haki. Ambapo ni pamoja na kuwa na mwanamke anayemtaka hasa yule mzuri hasa. Ambapo yeye anaona wanaume hawajatenda kwa sehemu yao na kuitendea haki jinsia yao.

Kwa sababu hiyo labda kuna watu wa aina hiyo hata hapa hivyo tuwe na mjadala wa wazi kwa mtazamo wa kila mmoja na sio kwa upande wa upande wa chumbani tu. Haha shughuli na vitu vingine vya kimaamuzi.
 
sijutii kuwa mwanaume.
ila kwa bahati mbaya nngekuwa mwanamke bas bikra yangu ningeitoa mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom