Hivi kama tungetumia mkono kuandika hapa...

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Jamani swali langu lisichukuliwe ni utanai ama vipi...nimejiuliza sana, kama tungekuwa tunaandika kwa kutumia mkono I mean hand writing, watu wanaoandika PUMBA mfano MS miandiko yao kutokana na pumba wanazoandika ni kweli zaidi mwandiko wake ni kama bata anatambaa....
Naw
 
Hahahaa! sasa ndo ungeshangaa wale wenye pumba ndo wanaandika vizuri sana. Na ile mibichwa inaandika kama kuku anatafuta mulo kwenye udongo! Mwandiko na intelligence au uwezo wa kudeliver mara nyingi hauendani. Ila mara nyingi mwandiko unaendana na tabia ya mtu zaidi.
 
Mkuu acha mie nawajua watu believe me PUMBA zao sawa kabisa na miandiko yao we to prove wanaomjua MS waseme hapa how is his handwriting looks like....
 
Ingekuwa ni balaa, nadhani wengine wangekuwa na miandiko wanayoweza kusoma wao wenyewe.....
 
Ingekuwa ni balaa, nadhani wengine wangekuwa na miandiko wanayoweza kusoma wao wenyewe.....

mkuu kuna mshikaji wangu mmoja mwandiko wake sijui inakuwaje jamaa, sasa siku moja mambo ya paper haya, ilikuwa ku explain ilibidi teacher amuite jamaa b4 he marks his paper work, jamaa alijua jibu tayari sasas katika kumwelezea mwalimu ikawa tofauti kabisa na ilivyo......acha mtu wangu KEYBOARD zinasaidia sana maana ingekuwa balaa..
 
Magulumangu,
unajua kwa sababu ya kutumia sana kompyuta wengi hata wenye mwandiko mzuri wanasahau kuandika kwa mkono. Na inapotokea kwamba lazima mtu aandike kwa mkono mwandiko wake unakuwa wa kutisha/mbaya kwa vile mkono hautumii sana ktk kuandika kwa kalamu/pen.
 
acha ndugu yangu hii 3g inatisha sana siku hizi, juzi tu nilikuwa class lecturer akasema kipindi chao hata calculator hazikuwepo leo hii mtu hata 3x4 anatumia calculator, vile vile kama report kuandika ilikuwa pen na pencil kuchora..sasa kila kitu computer hahahaha
 
Nafikri mi ningeibuka kidedea coz chekechea primary chuo walimu walinisifia kwa mwandiko na umwagaji wa constructive points! Najua JF mtacriticize maana ndo zenu nyie!
 
Nafikri mi ningeibuka kidedea coz chekechea primary chuo walimu walinisifia kwa mwandiko na umwagaji wa constructive points! Najua JF mtacriticize maana ndo zenu nyie!

Kama ni hilo mzee mie nakumbuka umishumita kipindi kile nilienda mpaka Mkoani mwandiko we acha mzee, niko std one nilikuwa naandika notice ubaoni kama mwalimu hajisikii fresh hadi la saba nilikuwa hivyo hivyo, secondary pia hapo Jiteute pia niliandika kidogo sio sana, nakumbuka pia census miaka ile wenye miandiko mizuru ndo tulikuwa tunachukuliwa kuhesabu dah kama ni CV mkuu ningejaza maukurasa hahahahaha....
 
Back
Top Bottom