Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

Mashitaka yatakuwa mengi sana, ambayo ni:-
(i). Kujenga barabara za lami nchi nzima,
(ii). Kutia saini ujenzi wa daraja la Mwanza - Busisi,
(iii). Kudhibiti Mishahara hewa na watumishi hewa,
(iv). Kujenga viwanja vya ndege,
(v). Duu, makosa ni mengi hata kuyataja ni vigumu kweli
Unaandika huku unaona aibu kwa uchafu unaouficha .
 
Back
Top Bottom