Hivi kama shemeji yako anakunyatia na wewe ukajua utafanyaje?

mzeewakungoa

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
4,969
13,915
Shem wangu ananipenda mpaka nimejua. Ni dada wa mke wangu ila kwa maumbile yake anaonekana mdogo kuliko mke wangu.

Mimi nime 'change anyhows' sijui nifanyeje. Namtamani lakini si vizuri kumchanganya mke wangu na dada yake.

Ushauri wenu muhimu wana JF.
 
Mkuu kutoka nje ya ndoa ni makosa but kulala na ndugu ama close friend(s) wa mkeo si uungwana at all! Achana na kemea na hiyo tamaa. Infact mchane huyo shem live, mwambie utamsemea kwa dada ake akiendelea na ujinga huu.
 
Back
Top Bottom