Hivi kama PCCB (Rushwa) na Police Tanzania (Uhalifu) wakiwa 'Serious kwa kauli hii ya Manara wa Yanga SC mkata kidole na watoa Rushwa hawatowajua?

Ushachomekwa huko na Mbeya City.Red card ya mchongo,ongeza pesa upewe penalty ya mchongo.Shiiit
 
.....
FB_IMG_16407017768996220.jpg
 
"Yaani Viongozi wote wa Yanga SC tuje huku Tanga Wiki Moja kabla ya Mechi yetu na Coastal Union FC halafu tufungwe? Sisi ndiyo Watoto wa Mjini bhana na Michezo yote tunaijua, tunaiweza na tunaifanya vile vile. Yanga SC tuko Vitani" Haji Manara Msemaji na Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga SC alipokuwa akizungumza moja kwa moja kwa njia ya Simu Asubuhi hii na Mtangazaji wa EFM Abdulrazaq Majid katika Kipindi Bora cha Michezo Tanzania nzima cha Sports Headquarters.

Na GENTAMYCINE nasema kwa jinsi tu lile Goli la Kwanza la Yanga SC la Jana lililofungwa na Mayele lilivyokuwa jepesi nikiambia kuna baadhi ya Wachezaji (hasa Mabeki) wa Coastal Union FC ya Tanga walihongwa (walinunuliwa) nitakubali 100%.

Na pia kwa like Tukio la Kidole cha Mtu Kukutwa ndani ya Uwanja wa CCM Mkwakwani (mpaka Waandishi wa Habari akina Privaldinho wa Clouds FM na Tv) wakakipiga Picha kwa Kauli hii ya Haji Manara nikiulizwa ni Klabu gani nadhani ndiyo inahusika na Kuonekana na Kukatwa kwa Kidole kile jibu langu litakuwa ni jepesi na la haraka kuwa Wahusika ni Yanga SC.

Kazi Kwenu PCCB na PT. Wawajibishwe!

Cc: Hziyech22
Acha hizo alinacha, hii ndo Yanga YANGA Yangaaaa.
 
Back
Top Bottom