Hivi kama mnawajua wapiga dili kwa nini hawaanikwi hadharani?

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
May 15, 2013
401
220
Jamani,watanzania wenzangu.Naomba mwa yeyote anayeweza kutamka kubwa anawajua wapiga dili katika kuhujumu ustawi wa uchumi wa nchi na Kukwamisha auvkutaka kudumaza malengo ya nchi.
Mm najisikia vibaya na huhisi nchi bado si salama sana kutokana na watu wanaoturudisha nyuma wanajulikana kisha na viongozi wa juu lakini hakuna hatua stahiki zinazochikuliwa badala yake tunasema tunawajua tu.
Jamani hii Tanzania ni yetu wote,kali nyengine zinatuumiza na kitukwaza zinapotolewa ilhali utekelezaji juu ya hilo ni sifuri.
Tafadhali mlosema wapo muwawajibishe tafadhali.
 
Huwa analopoka tu, kasema bodi ya TRA ilifungua akaunti ya fixed account ili wale faida wao binafsi, je Hana Imani na Waziri wake wa fedha? Mbona ajamtimua
 
Because wapiga dili na wala rushwa are the mystical creatures (viumbe wa kufikirika). Hakuna aliyewahi kuwaona live wala kuwafahamu majina yao... Ni sawa tu na hekaya za Abunuasi...
 
Hizo ni propaganda za kisiasa za Chama Cha Majipu.......

Hivi tokea waanzishe hizo mahakama za ufisadi, ni wapiga dili wangapi walioburuzwa kwenye mahakama hizo?
 
Mkuu wa mkoa wa dar alivyo kuwa akiwawajibisha wazembe wazembe, watumisi uchwara.Watu walilalamika kwamba ni kinyume na haki za binadamu na sheria za utumishi. Wapiga dili wanafahamika na tuna deal nao kimya kimya!! we tulia tu....
 
Back
Top Bottom