Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,874
Nauliza wataalamu wa mambo. Hivi kwa ulimwengu wa sasa wa kutumia smart card. Ambazo ndani zinakuwa na information nyingi za muhusika ikiwamo fingerprint. Je nini maana ya kuwa na signature?
Sasa hivi technology ipo juu sana tofauti na kipindi cha nyuma. Mpaka blood group zinakuwa ndani ya kadi.
Ni swali tu kwawenye uelewa.
Sasa hivi technology ipo juu sana tofauti na kipindi cha nyuma. Mpaka blood group zinakuwa ndani ya kadi.
Ni swali tu kwawenye uelewa.