Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

Kwa hiyo nani kawa prezidaa, nataka kujua kabisa kama nimeshakuwa first lady ama vipi, nikaanze kushonesha mie viwalo vya ufunguzi wa mashule nikanunue na mkasi wa kukata utepe,maana ndio naona kazi za ma 1st lady wetu hizo
Hahahahaaa sasa nikiwa mimi mbona FirstLady yupo tayari?
Inabidi uombe sana apate bachelor
 
MTOA MADA twategemea ifikapo saa kumi na mbili jion ya leo twategemea utakua ushahesabu Kura hizi za maoni na kujua nan anapendekezwa kugombea wapi ili uwaweke tena ubaoni hapa na nafac zao wananchi sie tuwapigie kura"
 
unamtaja kongosho,
una utani na theboss wewe eeh,
tena ndo president humu hakuna aliyejitokeza kumpinga,

au umeshikilia ule msimamo wako wa kuwa 'first lady'
hapa sijui, labda maombi maalum yafanyike, kongosho ni nomaa.

Hahahaha mamndenyi wewe! Ujue ODM ana nidhamu sana akiwa ofisini sema ana mikwara mingi.. Akitaka kuleta uchokozi namwitia asali yake kongosho..
 
utulipe siku yetu ya leo
sisi tunafanya kazi ya kukujibia tu wewe umekaa kando
unakula bata tu.

hebu imagine JF ingekuwa ndo serikali ni nani anastahili kuwa prezdaa, makamu wake, prime minister, spika, waziri wa fedha, ulinzi?
Karibun wadau
 
Hahahahaaa sasa nikiwa mimi mbona FirstLady yupo tayari?
Inabidi uombe sana apate bachelor
Hahahaha ndio maana nimeuliza, waliochaguliwa wameamua yupi ili nijue kama la aziz kawa prezdaaa not you bana
 
Hahahaha ndio maana nimeuliza, waliochaguliwa wameamua yupi ili nijue kama la aziz kawa prezdaaa not you bana
Hahahahaaaaa ila Amy anapewa wizara so sijui itakuwaje kwenye nafasi ya u Firstlady.....
Dah mtihani huu
 
Back
Top Bottom