Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

Hahahaha mamndenyi wewe! Ujue ODM ana nidhamu sana akiwa ofisini sema ana mikwara mingi.. Akitaka kuleta uchokozi namwitia asali yake kongosho..
Hakika ntakuteua uwe msaidizi wangu ntakapoukwaa ugavana wa benki kuu.
 
Mam,mie nishapewa hii hapa na nimeikubali ww unaonaje hapa!

Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo
Hahahahaaa ila wenzako naona kama ndoa zao zinalegalega sana
Ni wewe tu umekuwa juu sana....iga mfano wetu
 
kwa huu mpangilio mkianza kushindana kimavazi lazima siku moja mtadundana
tu humo ofisini.
Mam hapo hakuna kudundana coz kila mmoja yuko ndani ya ndoa yake ya humu JF,
Na itabidi tujadili na kuchagua ni suti zipi na kutoka wapi tutakua tunalipuka daile!
 
Hahahahaaa ila wenzako naona kama ndoa zao zinalegalega sana
Ni wewe tu umekuwa juu sana....iga mfano wetu
Kama waziri wa mambo ya ndoa ni lzm ndoa iwe imesimama na kuwa imara km ya kwangu na papa Rejao,
Ambayo hata wewe na Amy mmeiga kwetu lol!
 
ungepewa wizara ya ulinzi itakuwa nzuri kwako
japo inagombewa, itabidi uanze kuandaa bahasha,
ambazo mimi waziri wa fedha nitakupa vijana kama akina mwali,
eliza wa tegeta, mpoleee na wengineo ili waanze kugawa kwa wajumbe mapema.
form 1 nilikuwa kiranja wa ulinz ktk historia ya ile shule nilivunja rekodi kwa form 1 kuwa kiongoz wa kishule ukiachilia mbali mamonitor wa madarasa. form 2 nikawa HP mpaka form 4 pia nilivunja rekod kwan miaka yote ya nyuma HP alitoka form 3.
Inshort nimependa wizara ulonipa nahis historia itajirudia.
 
Samaki wengi mkuu!
Wabichi au wakavu?bcoz nna private car ya ofisi ambayo nilikuja kuichukua naweza nikakuletea wakiwa fresh becouse ntawagandisha barafu,pia mm ndio huwa nasafiri nao kwa utaratibu huo na wanafika dar wakiwa fresh kabisa.
We si upo dar mkuu?nijulishe unataka wa bei gani na nikifika ndio utanirudishia pesa yangu,sikuletei kibiashara,but nakuletea kama mwana jf mwenzangu.
Ahsante sana mkuu,nawataka wabichi pia.But kwa sasa niko Bujumbura but leo jioni ntaondoka Dar.
so tuwasiliane vp?
 
itabidi mpate mshauri wa mavazi,
huyu labda awe lizzy ili msije zidiana
mkaanza zongo.

Mam hapo hakuna kudundana coz kila mmoja yuko ndani ya ndoa yake ya humu JF,
Na itabidi tujadili na kuchagua ni suti zipi na kutoka wapi tutakua tunalipuka daile!
 
wewe umeonyesha nia,
kumbuka masharti na vigezo kuzingatiwa.

'like' imepotea ningekugongea.

form 1 nilikuwa kiranja wa ulinz ktk historia ya ile shule nilivunja rekodi kwa form 1 kuwa kiongoz wa kishule ukiachilia mbali mamonitor wa madarasa. form 2 nikawa HP mpaka form 4 pia nilivunja rekod kwan miaka yote ya nyuma HP alitoka form 3.
Inshort nimependa wizara ulonipa nahis historia itajirudia.
 
umpelekee nyumbani asije tafuta ujiko
kwenye nyumba ndogo kwa samaki wa kupewa.

Samaki wengi mkuu!
Wabichi au wakavu?bcoz nna private car ya ofisi ambayo nilikuja kuichukua naweza nikakuletea wakiwa fresh becouse ntawagandisha barafu,pia mm ndio huwa nasafiri nao kwa utaratibu huo na wanafika dar wakiwa fresh kabisa.
We si upo dar mkuu?nijulishe unataka wa bei gani na nikifika ndio utanirudishia pesa yangu,sikuletei kibiashara,but nakuletea kama mwana jf mwenzangu.
 
Ivo eee!sijasoma mambo yake siku nyingi,
Kule anapamudu mme wangu tu hata sijui huwa anachezaje na lile jukwaa!!!

Mie siku hizi nimeweka kambi cht chat hata mmu siku hizi nimeadimika kidogo nimenogewa na huku lol!
Lol mi nilihamia Jukwaa la Matangazo....
Ila Chit Chat ni nomaaaa
 
Kama waziri wa mambo ya ndoa ni lzm ndoa iwe imesimama na kuwa imara km ya kwangu na papa Rejao,
Ambayo hata wewe na Amy mmeiga kwetu lol!
Teh ila siku hizi mumeo kabanwa sana jukwaa fulani hadi hakukumbuki cha mchana
Lol pole sana shem
 
uwe katibu mwenezi na mambo ya propaganda
wa chini yako watakuwa wanaume tu tena
miaka 55 na kuendelea.

Cv mkuu.......najivunia cv yangu.........kwa kukuhakikishia ni kwamba ntawagonga mademu wote watakao shika wizara.......kudadadadeki.
So nafasi hiyo nipewe pls.
 
Kwa hiyo nani kawa prezidaa, nataka kujua kabisa kama nimeshakuwa first lady ama vipi, nikaanze kushonesha mie viwalo vya ufunguzi wa mashule nikanunue na mkasi wa kukata utepe,maana ndio naona kazi za ma 1st lady wetu hizo
 
Back
Top Bottom