Hivi jumuiya za vijana za vyama vya siasa nchini zina kazi gani hasa?

Kwa maoni yangu, inafaa jumuiya hizi kuwekeza zaidi kwenye kuwajenga wanachama wake kifikra kwani bado tuna tatizo kubwa kwenye eneo hilo. Hii itasaidia wanachama Wa jumuiya hizi kuwa chemchem ya fikra chanya kwa maendeleo ya nchi Leo na kesho.
 
Back
Top Bottom