Hivi julio ni kocha wa timu ya taifa au ya kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi julio ni kocha wa timu ya taifa au ya kikwete?

Discussion in 'Sports' started by Yericko Nyerere, Mar 23, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Nimemsikia na kumuona julio mida hii tbc anasema atamwakilisha vema kikwete nimekerwa sana na huyu kocha sijui wapembuzi wenzangu mnasemaje?
   
 2. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mpuuz tu huyo... Anataka kujpendekeza kwa ****** il apate ulaj taifa starz kwa hyo me cmshangai sana.... Ana majungu sana huyo jamaa.
   
 3. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  katika makocha wa tanzania julio unamuhesabia!
   
 4. m

  masingo sharili Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Julio ana kelele sana. Anasahau kuwa ni kocha wa timu ya taifa. Kikwete ni mtu kama walivyo watanzania wengine na timu sio yakwake ni ya watanzania wote.
   
Loading...