Hivi Jokate hajaanza kazi yake ya UVCCM?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Nauliza tu jamani maana Nina Siku kadhaa sifiki ofisi za Lumumba. Huyu mwenzetu kashaanza kazi hapo? Au yuko kwenye operations za mikoani? Naomba tujuzane alipo Hutu mwanadada mahili
‪+255 756 997 052‬ 20170516_223031.jpg
 
kwa kweli shaka kwa Tabia yako ya kujipenda na kujipendelea ujue Mungu anakuona! teh teh teh
 
Back
Top Bottom