Hivi Jk huwa hasomi Jf

kamtu33

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
999
405
Habari zenyu bwana!.......
Huwa mara nyingi najiuliza huyu rais wetu huwa haingii humu Jf kuona vilio vya wengi naana huku ndo kuna mambo mengi hata ambayo yanaweza kumsaidia atuongoze vipi na nini tumsaidie ila mambo yaende au yuko sana kwenye facebook? ila hata kama yuko huko si ana wasaidizii kwanini wasimfikishie yale tunayojadili huku?
Nawakilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom