Hivi JK huwa anaangalia vigezo gani katika teuzi zake?

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Wana jamvi, hili suala huwa linanitatiza sana katika teuzi nyingi za JK . Mimi nadhani JK huwa ana consider dini ya mtu na urafiki .Je wewe as a great thinker unadhani JK huwa ana consider criteria zipi katika teuzi zake?
 
Urembo,utanashati,toaji wa Suti,Uwezo wa Kumuongopea,Udugu,Ukabila,Udini,Uswaiba,na kuweza kufanya naye dill za umafia na kuangamiza jamii bila wasi utapata cheo mara moja
 
1. Udini
2. Schoolmet
3. Wadada wote aliotembea nao enzi hizo kama ameenda shule tu lazima apate uteuzi
4. Udugu
5. Uwezo wa kuchonga dili
6. Utanashat
 
Wana jamvi, hili suala huwa linanitatiza sana katika teuzi nyingi za JK . Mimi nadhani JK huwa ana consider dini ya mtu na urafiki .Je wewe as a great thinker unadhani JK huwa ana consider criteria zipi katika teuzi zake?
mpaka sasa sijajua huwa anatumia vigezo gani ! sasa hivi mawizarani hawana hela basi mawaziri wake wote wako kimya ngoja wapewe hizo hela utaona vituko vyao ndipo utajua kama tuna mawaziri au mambumbu wazungu wa reli nianzie mwezi desemba baada ya kupewa fedha kidogo kila waziri alijifanya anaanza ziara za kikazi lakini wengi ukichunguza walikuwa wanalazimisha posho tu waonekane wapo kazini.mfano;
JINALA WAZIRIWIZARA YAKEZIARA ALIYOANZISHAALICHOSEMA KATIKA ZIARAMAKOSA NINAYOYAONA HAPA
JOHN MAGUFURIUJENZIKANDA YA ZIWAFUKUZA WANATUMISHI WA HALMASHAURI WANAOKUSANYA FEDHA ZA KIVUKO SIO KAZI YAOZIARA YAKE ILIVURUGWA NA MAFURIKO DSM KARUDI DSM AKAPANDISHA BEI YA NAULI YA KIGAMBONI SIJUI ALIOMBA TENA FEDHA WAKAMWAMBIA LABDA TUCHUKUE ZA KIVUKO LAKINI NAZO HAZITOSHI NDO AKAPANDISHA BEI ILI ACHOTE TE ZA ZIARA NYINGINE.
MULUGOELIMUMAHAKAMA KUU YA DSM AKIONGEA NA MAJAJI WANAWAKE AWAAMBIA WATUNGE SHERIA ZA KUZUIA AJIRA YA NGONO KAMA BUNGE LIMESHINDWA KUTUNGA SHERIA ZA KUPAMBA NA RUSHWA YA NGONO HIVI NAONA KUNA KOSA SERIKALIKUTOA MAELEKEZO KWA MHIMILI HUU.
HUVISAMAZINGIRAJIMBOMBONI KWAKEMCHAKATO WA KATIBA MPYA HATA KAMA HAMJALETEWA MTALETEWA HIYO KATIBA ILA MSIFUNGIE MAANDAZI!SIJUI ANAHAKIKA GANI KAMA SERIKALI KAMA ITATOA NAKALA ZA HIYO KATIBA KWA WATANZANIA WOTE BORA HATA ANGEJIKITA NA TATIZO LA JANGWANI KUWA TATIZO SIO TABIA NCHI ILA NI TABIA WATU
ADAM MALIMANISHATI NA MADINIIFUNDA KIJIJI ALICHOZALIWA MAMA YAKE MZAZIAMEWAAMBIA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WA CHOKAA KWAMBA MAKAMPUNI MAKUBWA YA UCHIMBAJI WA CHOKAA YANAKUJA ILA YAKIJA MUWAAMBIE KARIBU LAKINI HII CHOKAA NI YETUSIJUI ALIKWENDA KUFANYA NINI WAKATI HAWA JAMAA WANACHIMBA CHOKAA YA KUJIKIMU TU MAANA HATA UKIPEWA PROSPECTUS RIGHT YA CHOKAA IFUNDA SIDHANI KAMA ITAKUWA NA FAIDA YOYOTE MAANA ITAKWISHA KABLA HUJAKATA LESENI.
sasa uteuzi wa watu hawa nadhani lazima kuna tatizo la watu wenyewe hawa wote haiwezi kuwa kuincidence kwamba wanabwabwaja tu. kuna ka ulevi fulani ndani yake ngoja OC ikiisha utaona kimya tena ila ikifika tu fedha ya matumizi mengineyo wanaanza kubwabwaja! yaani tutamlaumu kikwete bure kumbe ni hawa jamaa akili zao zimekaa kama katuni ya kwenye daily news ya miaka 80 kuna kija alikuwa na baba yake mlevi huyo mtoto alikwa anaitwa uswege akienda kwenye pati na baba yake yule kijana alikuwa anapata taabu sana kumzuia baaba yake asimtie aibu kwaajili ya pombe maana kila mgawo wa bia anataka bia isimkose matokeo yake anajikuta ana bia 12 lakini anazokunywa hazifiki hata bia tatu nyingine zote anaweka uvungungini mwa kiti.
 
Ukiwa na dalili ya kaushirikina na kausomaji kidogo wa nyota, mnoko, mbea, mkuda, kwa Jk unaweza kuwa dili kweli!
 
Back
Top Bottom