Hivi JK Bado Yupo Ikulu Kweli Au? Wananchi Asilmia 95% Sasa Hawamtakii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JK Bado Yupo Ikulu Kweli Au? Wananchi Asilmia 95% Sasa Hawamtakii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 12, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vizazi Vingi Vimeteseka na Umaskini Ulioletwa na Chama Kimoja Tu "Sisiem" Wenyewe Wanajisifu Sana kwa Maendeleo na Huduma Nzuri Walizozileta Tanzania, Hivi CCM ni Binadamu Kweli Au? Tukizunguka Tanzania Leo Tunaona Wananchi Asilimia 95% Wanataka JK Aondoke Ikulu na Taifa Linusurike Kuingia Hatarini na Michafuko. Hivi Kinachomweka JK Ikulu ni Nini Watanzania? Tunaona Wazi Maamuzi ya Kulipa Dowans na Mikataba Hewa Tanzania Haina Support ya Wananchi, Kwanini Wanalipa? Tunaomba Wananchi Tushirikiane Jinsi ya Kuindoa Serikali ya Mabavu CCM.

  "Nguvu za Kuleta Mabadiliko Zimeongezeka Zaidi na Zaidi. Umoja wa Upinzani Wetu Utaikoa Nchi Yetu 2011"
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  umejuaje kuwa ni 95%? Mm binafsi simtaki ila sijui kuwa tupo wengi kiasi hicho.
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Wanaimba kila siku ati wameleta maendeleo, sasa sijui ni maendeleo gani sijui wenzetu wanayoyaongelea, lakini kuna wananchi mazumbukuku bado wanamuamini hehehehe! safari ni ndefu sana. Bora mtu akupige ufe kuliko kukudharau na kukuona wewe ni mjinga maana utakuwa na maisha magumu na ya kutaabika hapa duniani.
   
 4. n

  niweze JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inawezeka Kabisa, JK Alipata 27% October 31, 2010 na Sasa Arusha na Dowans Sijui Kama Kuna Wanaomsupport. Tutaona Hii Temperature ya Siasa na Mwamko wa Taifa Wakati wa Maandamano Mikoa Yote.
   
 5. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kingine ni udictator na ufisadi! Inabidi aondolewe tu na nguvu ya umma, kwasababu ameshindwa kutumia utashi na akili yake kuwa watanzania hatumtaki!! Mbayuwayu bwana!!! Anafurahisha kweli!!
   
 6. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko wengi mkuu hata hata mimi namchukia sana huyu fisadi nguri Kiwete
   
 7. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongo mtupu!! Wanadhani watanzania ni wale wale wa miaka 20 iliyopita wa kudanganywa danganywa!!
   
Loading...