Hivi JK bado anafanya kazi kwa feedbak,,,,???????

kirikuu1

Member
May 11, 2012
71
19
nimekua nikifatilia mienendo ya utendajikazi wa serikali ya mkuu wa kaya naona mpaka kutokee tatizo ndo anatake action. mfano kama yule Dc wa Mbozi asingejiuzulu kwa jk kutokurenew mkataba wake ina mana jk asingekomaa usiku wa juzi kupanga baraza lake la wapiga debe wa chama chake mawilayani yani ma dc.

pili tumeona baraza jipya la mawaziri mpaka patokee wizi na kelele za wabunge ndo anawajibisha mawaziri???

wakuu feedbak zipo nyingi hebu endelezeni......
 
kirikuu1
Join Date : 11th May 2012

Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received: 0

Likes Given: 0


Karibu sanaa jamvini mkuu, ukweli nimeipenda sana ID name yako hiyo maana imenikumbusha ile katuni
 
Back
Top Bottom