Hivi JK alimwelewa Benjamin Netanyahu?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
[video=youtube_share;IdMxWsMVhE8]http://youtu.be/IdMxWsMVhE8[/video]

[video=youtube_share;he7HRWrPQ6s]http://youtu.be/he7HRWrPQ6s[/video]
 
Na huyu anayeiita UN theatre of the absurd kaenda huko kufanya nini?
 
Na huyu anayeiita UN theatre of the absurd kaenda huko kufanya nini?

Ili kuwaambia hilo ilibidi aende huko. Na Israel uwa haifuati mambo ya UN yaani makatazo i.e. resolutions.
 
Not Sure of understanding as well as hearing,it seems JK was just listening...Wengi wa viongozi wa kiafrica wanaenda UN ku-adress vitu bila Vision,just copying and pasting things talken by other thinkers with vision for their own country problem and not Palestine,just using palestine issue as their stepping stone to reach their goals
 
Ni utemi tu, ila Netanyahu hana pointi!!

so sorry!
Nimeangalia speech za UN GA na bado naendelea kuzipia, hii speech yake ilikuwa direct, honest and referenced. Only non-thinker na emotionalists watapinga alichosema. Wewe aidha hujaiona au uko way too emotional/religious kuuona ukweli
 
Na huyu anayeiita UN theatre of the absurd kaenda huko kufanya nini?
kwa muktadha aliokuwa akiongelea yuko sahihi. Ukiisikiliza speech nzima utamwelewa vizuri. Mambo ya kule hata wewe ungekuwa ndio waziri mkuu Israel ungekuwa na wakati mgumu.
It is good speech by the way. I wish kama rais wetu.....
 
so sorry!
Nimeangalia speech za UN GA na bado naendelea kuzipia, hii speech yake ilikuwa direct, honest and referenced. Only non-thinker na emotionalists watapinga alichosema. Wewe aidha hujaiona au uko way too emotional/religious kuuona ukweli

Sasa wewe sio religious au emotional? Kama huko mmoja wa viwili hivyo basi dhana yangu ni kuwa hukumfahamu Netanyahu au hufahamu background ya suala la Palestina. Kwa kifupi, hawa akina Netanyahu, kwa sababu za kidini, wameivamia Palestina eti kwa vile babu zao miaka 2,000 + iliyopita walikuwa wakiishi hapo. Kwanza hii ssi fact, kwa maana kuwa Wayahudi waliishi kama umma mwingine katika sehemu hiyo ambao wamepita na kutwaliwa mahali pao na makabila mengine. Hawakuishi kwa muda mrefu. Pili hawa wanaojiita Wayahudi hii leo asilimia 90 hawana uhusiano na Mashariki ya Kati.
Lakini zaidi ya hayo, ni Umoja wa Mataifa ulioigawa nchi ya Palestina mwaka 48 na kuwapa Wayahudi asilimia 47 na Waarabu asilimia 53. Swali la kuuliza hapa, ni nani huyu Netanyahu asemaye UN ni theatre of absurd na hali ndiyo iliyompa nchi? Yaani, maaamuzi yakiwa na maslahi yake ndiyo UN inakuwa sawa?
Baada ya ugavi ule, ambao uliwapa Wayahudi wachache sehemu kubwa sana (walikuwa chini ya asilimia 10) Wapalestina wwaliokuwa wakikaa sehemu hizo toka kale waliiukataa (sawa kabisa, ingekuwa wewe ungekubali?) Ndipo kwa vita, Israel ikajiongezea sehemu kubwa. Hivi sasa Wapalestina wanadai asilimia 22 tu ya nchi- yaani sehemu zilizotekwa mwaka 1967. Inaonesha wazi kwamba haata sehemu hiyo ndogo Israel haaitaki kuitoa, na hii ni kuasi maagizo ya UN yenyewe. Sasa unganisha hapo....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom