Hivi jina la ''vidudu'' kwa shule za chekechea na awali lilianzia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jina la ''vidudu'' kwa shule za chekechea na awali lilianzia wapi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by trachomatis, Oct 19, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Enzi zetu ziliitwa vidudu, siku hizi awali mara chekechea. Hivi nini asili ya jina la vidudu?
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ninachojua wanapewapewa uji na kucheza...
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  nahisi ule uji wa Buruga ulikuwa na Vidudu. watoto tulikuwa tukiona vipunje punje tunaita vidudu.
  Umenikumbusha mbali sana
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  darasa la kuandika madudu.
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  I think hii ingepelekwa jukwaa la lugha...
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wapi vileee!!
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Katika umri wake zama hizo lazima uwe hodari wa kudaka/kubaka panzi na balangulu na tetete.
  Mkitoka tu darasani mida ya saa 5 au sita hivi, jua kali basi tetete ndiyo wanapatikana kirahisi. Wewe ni kuandaa chupa. ukimbaka tu unamweka kwenye chupa chap chap. Halafu njiani unawatambishia wenzako ulivyowabaka panzi wengi.

  Umenikumbusha mbali wewe..!!
   
 8. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Rudia kumsoma mtoa mada. Utagundua huko unakotaka ipelekwe ni machakani kabisa.
   
 9. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  You are totally wrong! The chekechea was called kindergaten, man.
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mimi nimeiposti thread kwa lugha ya Taifa. Enhe,haya na awali je? Na day care ni kitu gani?
   
Loading...