lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,743
- 1,379
1. Kuwa jiji lililo safi!.
2. Kukomesha mateja
3.kukomesha machangudoa
4.kukomesha mashoga
5. Kukomesha ombaomba
6. Kukomesha vibaka.
Jiji la DaresSalaam linapaswa kuja na strategic ambazo zitakomesha hayo hapo juu.
1. Uchafu umeshamiri sana DaresSalaam
Mimi ninadhani na hii itafanya kazi wakiichukua
A) wajumbe wa nyumba kumi na serikali za mtaa wahusike na ukitokea uchafu katika mtaa
Adhabu iwe kali sana kwa mjumbe wa nyumba kumi na mwenyekiti wa serikali ya mtaa hata kuwekwa ndani na viboko juu maana hawa ndio wanaoleta magonjwa kama kipindupindu kwa kupuuza maagizo.
B) kampuni ya kuzoa takataka katika stations mbalimbali zianze kazi kuazia saa moja usiku na wananch wanapeleka taka hapo ili kutwa watu wafanye kazi. Mkuu wa wilaya wakurugenzi na mabibi afya wahusike kufuatilia hili kwa undani.
Kuwe na fumigation za kuzunguka kupulizia dawa kila nyumba na vyumba pia mitaro ili kuua mazalia ya mbu.
2. Mateja wanajulikana na wajumbe wanawafahamu kila mtaa ambao mjumbe anasimamia yeye atahusika na vijiwe vyao vifuatiliwe . Wote hawa wapelekwe gerezani kwenda kulima na ili wakipata vipato huko wasaidie familia zao.
3. Machangudoa kwasababu wamepanga katika majumba yetu wahusika wenye nyumba waulize kuwe na kikos maalumu cha kuwashika machangudoa na wanasafirishwa sehemu mbalimbali kwenye magereza kufanya kazi maana hao wana matatizo ya kiakili. Au ikiwezekana adhabu ni kwenda kutumikishwa mashambani mwaka mzima wazalishe iwe kwenye mkonga au mashamba ya chai kikosi cha kuwakamata kiwe well trained .
4. Mashoga .......hawa wanaleta laana katika nchi. Wafuatiliwe wenye mahusiano nao nao wawekwe chini ya ulinzi na wapelekwe kwenye kazi za kiume itakayo fanya warudi kwenye hali ya uanaume kama jkt
5. Ombaomba wapigwe marufuku wakionekana wakamatwe wote na kuwekwa ndani.
6.vibaka sheria ya mateja ndio itumike kwao pia.