lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,743
- 1,379
- Thread starter
- #21
Hiyo 2 mpaka 6 achana nayo maana kujipa kazi ambayo ngumu na hatuiwezi ila kwenye usafi hakuna sababu ya kushindwa ndio jambo muhimu kuliko yote hayo mengine. Usafi ni kitu kianzie majumbani na kutafuta kampuni kweli yenye uwezo wa kuifanya hii kazi maana mwisho wa siku wanaoilipa ni wananchi serikali ni kuratibu tu hapo ndio tunatia huruma. Usafi ni jambo la wote na muhimu na linawezekana kabisa wala sio science ni nia ya dhati na sheria ziwekwe kwa wote baadae itakuwa tabia tu watu watazoea na hii sio Dar tu ni kote.
UMESEMA KWELI MKUU