Hivi jiji la DaresSalaam linashindwa wapi haya?

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,709
2,000
1. Kuwa jiji lililo safi!.
2. Kukomesha mateja
3.kukomesha machangudoa
4.kukomesha mashoga
5. Kukomesha ombaomba
6. Kukomesha vibaka.

Jiji la DaresSalaam linapaswa kuja na strategic ambazo zitakomesha hayo hapo juu.

1. Uchafu umeshamiri sana DaresSalaam
Mimi ninadhani na hii itafanya kazi wakiichukua
A) wajumbe wa nyumba kumi na serikali za mtaa wahusike na ukitokea uchafu katika mtaa
Adhabu iwe kali sana kwa mjumbe wa nyumba kumi na mwenyekiti wa serikali ya mtaa hata kuwekwa ndani na viboko juu maana hawa ndio wanaoleta magonjwa kama kipindupindu kwa kupuuza maagizo.

B) kampuni ya kuzoa takataka katika stations mbalimbali zianze kazi kuazia saa moja usiku na wananch wanapeleka taka hapo ili kutwa watu wafanye kazi. Mkuu wa wilaya wakurugenzi na mabibi afya wahusike kufuatilia hili kwa undani.
Kuwe na fumigation za kuzunguka kupulizia dawa kila nyumba na vyumba pia mitaro ili kuua mazalia ya mbu.

2. Mateja wanajulikana na wajumbe wanawafahamu kila mtaa ambao mjumbe anasimamia yeye atahusika na vijiwe vyao vifuatiliwe . Wote hawa wapelekwe gerezani kwenda kulima na ili wakipata vipato huko wasaidie familia zao.

3. Machangudoa kwasababu wamepanga katika majumba yetu wahusika wenye nyumba waulize kuwe na kikos maalumu cha kuwashika machangudoa na wanasafirishwa sehemu mbalimbali kwenye magereza kufanya kazi maana hao wana matatizo ya kiakili. Au ikiwezekana adhabu ni kwenda kutumikishwa mashambani mwaka mzima wazalishe iwe kwenye mkonga au mashamba ya chai kikosi cha kuwakamata kiwe well trained .

4. Mashoga .......hawa wanaleta laana katika nchi. Wafuatiliwe wenye mahusiano nao nao wawekwe chini ya ulinzi na wapelekwe kwenye kazi za kiume itakayo fanya warudi kwenye hali ya uanaume kama jkt

5. Ombaomba wapigwe marufuku wakionekana wakamatwe wote na kuwekwa ndani.

6.vibaka sheria ya mateja ndio itumike kwao pia.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,030
2,000
Isaya 50:11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,970
2,000
Mkuu umekuja na mada nzuri mno ILA kwa maoni yangu umeiharibu na sababu na ufumbuzi wa hayo uliyoyasema,na hii sikulaumu sana maana tunaanza kuona matokeo ya jamii yenye hasira na inayoamini kuwa nguvu na vitisho ndio njia muhimu ya kutatua tatizo,miji mingi duniani imefanikiwa kwa hayo kwa kufanya tafiti na kutumia akili ili kupata jawabu;Usafi hili ni jukumu la kila mkaazi wa jiji ila msalaba huu unaishia mlangoni mwa Meya,Meya aruhusiwe kutekeleza majukumu yake kisheria na awe na uwezo wa kukusanya kodi itakayomwezesha kuyafanya hayo,kodi kama za majengo,leseni etc etc ni mapato ya jiji sio TRA,maana kutokana na mapato haya jiji lingeweza kununua na kuimarisha miundo mbinu yake ya kutekeleza majukumu yake,idara ya usafi iimarishwe na mapipa ya taka yawekwe mitaani,public toilets zijengwe na ziendeshwe kitaalam,drainage systems yetu imekufa au haipo kabisa na hili nalo linachangia uchafu;Drugs its a big issue na dawa sio kuwaweka ndani mateja(hawa wanahitaji msaada sio adhabu)ufumbuzi wa hili ni kukata supply chain ya drugs(big drugs lords ndio wawe targeted),Mashoga na changudoa wewe na mimi hatuna mamlaka ya kuwahukumu mtu kaamua kuwa shoga ni uamuzi wake kama mimi na wewe tulivyo straight,mimi ningekuwa na uwezo ningewaanzishia RED AREA YAO ,ni Mwenyezi Mungu ndio atakayehukumu!!.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,153
2,000
1. Kuwa jiji lililo safi!.
2. Kukomesha mateja
3.kukomesha machangudoa
4.kukomesha mashoga
5. Kukomesha ombaomba
6. Kukomesha vibaka.

Jiji la DaresSalaam linapaswa kuja na strategic ambazo zitakomesha hayo hapo juu.

1. Uchafu umeshamiri sana DaresSalaam
Mimi ninadhani na hii itafanya kazi wakiichukua
A) wajumbe wa nyumba kumi na serikali za mtaa wahusike na ukitokea uchafu katika mtaa
Adhabu iwe kali sana kwa mjumbe wa nyumba kumi na mwenyekiti wa serikali ya mtaa hata kuwekwa ndani na viboko juu maana hawa ndio wanaoleta magonjwa kama kipindupindu kwa kupuuza maagizo.

B) kampuni ya kuzoa takataka katika stations mbalimbali zianze kazi kuazia saa moja usiku na wananch wanapeleka taka hapo ili kutwa watu wafanye kazi. Mkuu wa wilaya wakurugenzi na mabibi afya wahusike kufuatilia hili kwa undani.
Kuwe na fumigation za kuzunguka kupulizia dawa kila nyumba na vyumba pia mitaro ili kuua mazalia ya mbu.

2. Mateja wanajulikana na wajumbe wanawafahamu kila mtaa ambao mjumbe anasimamia yeye atahusika na vijiwe vyao vifuatiliwe . Wote hawa wapelekwe gerezani kwenda kulima na ili wakipata vipato huko wasaidie familia zao.

3. Machangudoa kwasababu wamepanga katika majumba yetu wahusika wenye nyumba waulize kuwe na kikos maalumu cha kuwashika machangudoa na wanasafirishwa sehemu mbalimbali kwenye magereza kufanya kazi maana hao wana matatizo ya kiakili. Au ikiwezekana adhabu ni kwenda kutumikishwa mashambani mwaka mzima wazalishe iwe kwenye mkonga au mashamba ya chai kikosi cha kuwakamata kiwe well trained .

4. Mashoga .......hawa wanaleta laana katika nchi. Wafuatiliwe wenye mahusiano nao nao wawekwe chini ya ulinzi na wapelekwe kwenye kazi za kiume itakayo fanya warudi kwenye hali ya uanaume kama jkt

5. Ombaomba wapigwe marufuku wakionekana wakamatwe wote na kuwekwa ndani.

6.vibaka sheria ya mateja ndio itumike kwao pia.
Umeandika vizuri na umependekenza ila hujatoa reference point/mfano ili ifanane kama jiji gani? Au ni nadharia/jiji fikirishi yako tu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,709
2,000
Mkuu umekuja na mada nzuri mno ILA kwa maoni yangu umeiharibu na sababu na ufumbuzi wa hayo uliyoyasema,na hii sikulaumu sana maana tunaanza kuona matokeo ya jamii yenye hasira na inayoamini kuwa nguvu na vitisho ndio njia muhimu ya kutatua tatizo,miji mingi duniani imefanikiwa kwa hayo kwa kufanya tafiti na kutumia akili ili kupata jawabu;Usafi hili ni jukumu la kila mkaazi wa jiji ila msalaba huu unaishia mlangoni mwa Meya,Meya aruhusiwe kutekeleza majukumu yake kisheria na awe na uwezo wa kukusanya kodi itakayomwezesha kuyafanya hayo,kodi kama za majengo,leseni etc etc ni mapato ya jiji sio TRA,maana kutokana na mapato haya jiji lingeweza kununua na kuimarisha miundo mbinu yake ya kutekeleza majukumu yake,idara ya usafi iimarishwe na mapipa ya taka yawekwe mitaani,public toilets zijengwe na ziendeshwe kitaalam,drainage systems yetu imekufa au haipo kabisa na hili nalo linachangia uchafu;Drugs its a big issue na dawa sio kuwaweka ndani mateja(hawa wanahitaji msaada sio adhabu)ufumbuzi wa hili ni kukata supply chain ya drugs(big drugs lords ndio wawe targeted),Mashoga na changudoa wewe na mimi hatuna mamlaka ya kuwahukumu mtu kaamua kuwa shoga ni uamuzi wake kama mimi na wewe tulivyo straight,mimi ningekuwa na uwezo ningewaanzishia RED AREA YAO ,ni Mwenyezi Mungu ndio atakayehukumu!!.Yaani umeongea point kubwa sana

Ila roots zetu zianzie kwa wajumbe wa nyumba kumikumi moja ya majukumu yao hapa DaresSalaam ni kufanya eneo lake liwe safi maana ana watu anawamiliki
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000
Watu walio hoi kiuchumi hata uwapeleke New York itakuwa chafu ndani ya siku mbili. Tatizo la Dar ni kukosekana kwa maendeleo ya watu kwanza.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,268
2,000
1. Kuwa jiji lililo safi!.
2. Kukomesha mateja
3.kukomesha machangudoa
4.kukomesha mashoga
5. Kukomesha ombaomba
6. Kukomesha vibaka.

Jiji la DaresSalaam linapaswa kuja na strategic ambazo zitakomesha hayo hapo juu.

1. Uchafu umeshamiri sana DaresSalaam
Mimi ninadhani na hii itafanya kazi wakiichukua
A) wajumbe wa nyumba kumi na serikali za mtaa wahusike na ukitokea uchafu katika mtaa
Adhabu iwe kali sana kwa mjumbe wa nyumba kumi na mwenyekiti wa serikali ya mtaa hata kuwekwa ndani na viboko juu maana hawa ndio wanaoleta magonjwa kama kipindupindu kwa kupuuza maagizo.

B) kampuni ya kuzoa takataka katika stations mbalimbali zianze kazi kuazia saa moja usiku na wananch wanapeleka taka hapo ili kutwa watu wafanye kazi. Mkuu wa wilaya wakurugenzi na mabibi afya wahusike kufuatilia hili kwa undani.
Kuwe na fumigation za kuzunguka kupulizia dawa kila nyumba na vyumba pia mitaro ili kuua mazalia ya mbu.

2. Mateja wanajulikana na wajumbe wanawafahamu kila mtaa ambao mjumbe anasimamia yeye atahusika na vijiwe vyao vifuatiliwe . Wote hawa wapelekwe gerezani kwenda kulima na ili wakipata vipato huko wasaidie familia zao.

3. Machangudoa kwasababu wamepanga katika majumba yetu wahusika wenye nyumba waulize kuwe na kikos maalumu cha kuwashika machangudoa na wanasafirishwa sehemu mbalimbali kwenye magereza kufanya kazi maana hao wana matatizo ya kiakili. Au ikiwezekana adhabu ni kwenda kutumikishwa mashambani mwaka mzima wazalishe iwe kwenye mkonga au mashamba ya chai kikosi cha kuwakamata kiwe well trained .

4. Mashoga .......hawa wanaleta laana katika nchi. Wafuatiliwe wenye mahusiano nao nao wawekwe chini ya ulinzi na wapelekwe kwenye kazi za kiume itakayo fanya warudi kwenye hali ya uanaume kama jkt

5. Ombaomba wapigwe marufuku wakionekana wakamatwe wote na kuwekwa ndani.

6.vibaka sheria ya mateja ndio itumike kwao pia.
Uongozi wa jiji mbovu.
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,510
2,000
Usafi wa miji au sehemu zote ni jukumu la serikali, kwani watu wanalipa kodi ili wapate huduma zote.
Kweli kuna watu wachafu ambapo hata ukiweka skip bado watatupa pembeni, inatakiwa Environmental officers wamwagwe mjini na kuwapiga faini kubwa hata laki 5 kwa wanaotupa taka hovyo.
Lakini na serikali ijitahidi kuondoa kero
Kuhusu makahaba hili haliwezekani maana ni biashara ya zamani sana na ipo ipo bado
Upande wa mateja hao wataisha wenyewe
Vibaka hao wanapungua kwa kuwasweka ndani tu hawamaliziki
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Heijah

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,922
2,000
1. Kuwa jiji lililo safi!.
2. Kukomesha mateja
3.kukomesha machangudoa
4.kukomesha mashoga
5. Kukomesha ombaomba
6. Kukomesha vibaka.

Jiji la DaresSalaam linapaswa kuja na strategic ambazo zitakomesha hayo hapo juu.

1. Uchafu umeshamiri sana DaresSalaam
Mimi ninadhani na hii itafanya kazi wakiichukua
A) wajumbe wa nyumba kumi na serikali za mtaa wahusike na ukitokea uchafu katika mtaa
Adhabu iwe kali sana kwa mjumbe wa nyumba kumi na mwenyekiti wa serikali ya mtaa hata kuwekwa ndani na viboko juu maana hawa ndio wanaoleta magonjwa kama kipindupindu kwa kupuuza maagizo.

B) kampuni ya kuzoa takataka katika stations mbalimbali zianze kazi kuazia saa moja usiku na wananch wanapeleka taka hapo ili kutwa watu wafanye kazi. Mkuu wa wilaya wakurugenzi na mabibi afya wahusike kufuatilia hili kwa undani.
Kuwe na fumigation za kuzunguka kupulizia dawa kila nyumba na vyumba pia mitaro ili kuua mazalia ya mbu.

2. Mateja wanajulikana na wajumbe wanawafahamu kila mtaa ambao mjumbe anasimamia yeye atahusika na vijiwe vyao vifuatiliwe . Wote hawa wapelekwe gerezani kwenda kulima na ili wakipata vipato huko wasaidie familia zao.

3. Machangudoa kwasababu wamepanga katika majumba yetu wahusika wenye nyumba waulize kuwe na kikos maalumu cha kuwashika machangudoa na wanasafirishwa sehemu mbalimbali kwenye magereza kufanya kazi maana hao wana matatizo ya kiakili. Au ikiwezekana adhabu ni kwenda kutumikishwa mashambani mwaka mzima wazalishe iwe kwenye mkonga au mashamba ya chai kikosi cha kuwakamata kiwe well trained .

4. Mashoga .......hawa wanaleta laana katika nchi. Wafuatiliwe wenye mahusiano nao nao wawekwe chini ya ulinzi na wapelekwe kwenye kazi za kiume itakayo fanya warudi kwenye hali ya uanaume kama jkt

5. Ombaomba wapigwe marufuku wakionekana wakamatwe wote na kuwekwa ndani.

6.vibaka sheria ya mateja ndio itumike kwao pia.
Hiyo 2 mpaka 6 achana nayo maana kujipa kazi ambayo ngumu na hatuiwezi ila kwenye usafi hakuna sababu ya kushindwa ndio jambo muhimu kuliko yote hayo mengine. Usafi ni kitu kianzie majumbani na kutafuta kampuni kweli yenye uwezo wa kuifanya hii kazi maana mwisho wa siku wanaoilipa ni wananchi serikali ni kuratibu tu hapo ndio tunatia huruma. Usafi ni jambo la wote na muhimu na linawezekana kabisa wala sio science ni nia ya dhati na sheria ziwekwe kwa wote baadae itakuwa tabia tu watu watazoea na hii sio Dar tu ni kote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom