Hivi jf huwa inachangiwa fedha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jf huwa inachangiwa fedha?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Msolid1990, May 28, 2012.

 1. Msolid1990

  Msolid1990 Senior Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na kama inachangiwa wanatumia utaratibu gani?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  mh,napita tu!
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Heheeee
   
 5. Msolid1990

  Msolid1990 Senior Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nna hela zinanisumbua sana. Ok! Anayejua utaratibu anipm anipe namba yake ya m-pesa/tigo pesa nimtumie then aziwasilishe kunakohusika.
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hata mim nilikuwa najiulizaga hicho kitu nasijui kwa nin? Kipo chini chini kwanin? Anayehusika na utaratibu huo asiweke wazi?
  Au namba za akaunt ziwekwe wazi kwa yeyote atakaye kuichangia.
   
 7. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  tutaku-PM mkuu,tukupe namna ya kutufikishia mchango...
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  wekeni kwenye hii no. yangu jaman! me ni mwaminifu ntazifikisha kunakohusika.
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Mcheki member anaeitwa PakaJimmy, anafahamu taratibu vema.
  PakaJimmy
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  laadhidhi mbna unanibania,me nimemwambia aweke kwny no.yangu ili wote tufaidi afu we unamwambia amtafte pakajimmy?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mwanangu usije ukafisadi pesa kumalizia kile kibanda chenu na Sobhuza mie sintopenda kuja kuwasalimia segerea na huko mjini sijawahi fika. Nakuomba usijaribu kuzipkea pesa za watu
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Honey si unajua cha mnyonge ukikila utakitapika hadharani? Afu ma mkwe ashatahadharisha hapo, na mie jela hapana taka.
   
 13. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Premium Member
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Msolid1990 inachangiwa Ukitaka utaratibu bonyeza hapa
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/22767-changia-jf-mkono-mtupu-haulambwi.html na Pia wasiliana na Mkuu @Invisible kwa address hii hapa chini

  Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

  1. Paypal users:

  Details will follow

  2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.

  3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

  CRDB:

  Account Name: Maxence Melo Mubyazi
  Bank: CRDB Pugu Road Branch
  Swift Code: CORUTZTZ
  Acc No: 01J2092391800

  4. Njia ya nne:

  Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel au ZAP (0784526444), M-PESA (0755642929), tiGO PESA, Z-PESA n.k kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea. Namba za ZAP, M-PESA na Z-PESA anaweza kukupa ukiwasiliana naye.

  ============================== ===

  Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

  Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.

  Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu
  [COLOR=#49535A !important] +255713444649 [/COLOR]​
  .
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Msolid1990 inachangiwa Ukitaka utaratibu bonyeza hapa
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/22767-changia-jf-mkono-mtupu-haulambwi.html na Pia wasiliana na Mkuu @Invisible kwa address hii hapa chini

  Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

  1. Paypal users:

  Details will follow

  2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.

  3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

  CRDB:

  Account Name: Maxence Melo Mubyazi
  Bank: CRDB Pugu Road Branch
  Swift Code: CORUTZTZ
  Acc No: 01J2092391800

  4. Njia ya nne:

  Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel au ZAP (0784526444), M-PESA (0755642929), tiGO PESA, Z-PESA n.k kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea. Namba za ZAP, M-PESA na Z-PESA anaweza kukupa ukiwasiliana naye.

  ============================== ===

  Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

  Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.

  Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu
  +255713444649
  .
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  sry mum, nlipitiwa na kapepo kakifirad. nimekuckia mum!
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  poa laadhidhi,cjui hata haka kapepo kalitokea wapi! c wajua mkeo cnaga hzo tabia!
   
 18. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Good girl......
   
 19. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ...kwanini zipitie kwa mtu..?..kwani jf haina Ofisi..?
   
Loading...