kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Tukutane usiku wa saa 8Hivi hawa wachawi huku Africa hawaoni aibu jinsi jamii zinavyoteseka kwa ujinga wao...
Wakiacha uchawi ukawa haupo watu wakaishi vizuri tu kuna shida gani?.....ni vyema ule utamaduni wakuwaua wachawi na washirikina ukaanza kila akutwaye na vitendea kazi na tabia hizi risasi.... baada ya miaka 20 nina uhakika jamii itaishi kwa raha sana...
Naamini moja ya vitu vinavyosababisha jamii nyingi kuwa masikini Tanzania ni uchawi uliokithiri kwenye koo pamoja na mitaani, watu kuendekeza kuharibiana maisha...