Hivi jeshi ni kina nani, wako juu ya sheria?

Kamanda

Senior Member
Dec 5, 2007
144
250
Inawezekana vipi ziwepo taasisi zingine zinaonekana au zinajiona kuwa bora na haki zaidi ya zingine?
Iweje JWTZ watumie maji na washindwe kulipa wakati hata kwenye bajeti zao malipo hayo yanajuuishwa?
Natambua kuwepo kwa mafisadi wengi sana jeshini kuliko hata serikali kuu na mitaa.
Jamai wanajeshi acheni ubabe lipeni ankara za maji kwani fedha zipo na inaelekea mnazinywea bia tu na kuwatongozea dada na mama zetu.
Hebu waelezeni jamani walipe na wala hakuna anayetaka kuwadhalilisha kama anavyodai bosi wao Shimbo.
Dawa ya deni ni kulipa
 

BabaH

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
704
225
Mimi nakwambia ndugu yangu hii nchi haina haki hata kidogo
na hii yote ni kwa ajili ya Ufisadi ndani ya serikali na watu kupeana madaraka wakijua hata wakifanya makosa hawatafanywa kitu, ebu tizama mwenendo wa haya mambo
  1. Ditoo aliamua kwa akili zake timamu kuuwa raia maksudi kabisa
  2. Sasa wanajeshi wanapiga wanachi kila siku kukicha
  3. Wanafunzi chuo kikuu wanapiga wahadhiri wao kama kawa na kuleta vurugu kibao.
Sasa niambie hapa tunaelekea wapi, na Serikali inaona haya mambo sema inakaa kimya.
 
Top Bottom