emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Wandugu napata tabu kuelewa kuhusu jeshi letu LA maji (navy force)wanalinda nini mipaka yetu baharini cause main entrance ya kuingiza haya madude ni bahari yanapakiwa kwenye meli yanashushwa kwa kurushwa mapipa yenye GPS ili iwe rahisi kuyatafuta hata kama ni usiku,na njia kubwa ya kuya export ni airport ndio maana wanaharibu scana makusudi.inaelekea hata magaidi kuingiza silaha simple tu