Hivi jamani kwa nini hawa BRELA hawako makini katika kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jamani kwa nini hawa BRELA hawako makini katika kazi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Michael Amon, Feb 2, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hawa BRELA wameniudhi sana kwa kutokuwa makini katika kusajili majina ya biashara. Mnamo tarehe 6 december mwaka jana nilienda katika ofisi zao ili kusajili jina langu la biashara na mara baada ya kusajili nililipia malipo na kupewa risiti na kuambiwa nije nifuatilie certificate of registration.

  Kutokana na shughuli nyingi na kuzungusha pale katika ofisi zao kuwa certificate of registration bado haijakamilika niliamua kurudi zangu nyumbani na kumwachia ndugu yangu mmoja anisaidie kufuatilia hizo certificate of registration.

  Siku si nyingi huyo ndugu yangu alifanikiwa kuzipata hizo certificate of registration na juzi ndio amenitumia.

  Lakini cha kushangaza baada ya kupokea certificate hizo jina la biashara lililoandikwa hapo ni tofauti na lile nililolisajili. Hivi jamani kweli huu ni uungwana? Mnashindwa kuwa makini hata katika vitu vya msingi kama hivi?

  Siku nikienda dar nitaenda kupambana nao na lazima watanirekebishia tu.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  pole sana ucsahau tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele tumia hilo hilo walokupa mkuu awawezi kubadili tena
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Watanzania waliokuwa makini japo kidogo tu, hawaajiriwi, wanaajiri. Usishangae kwa hilo, hata huyo nduguyo uliyemwachia afatilie hakuwa makini kupokea nyaraka zenye jina ambalo silo.

  Mimi yalinikuta nilipo renew passport yangu badala ya Faiza wakaandika Faizal na hata humu JF kuna mtu huniita Faizal badala ya Faiza nadhani ndio huyo huyo aliyeandika PP yangu. Niligoma kuichukuwa, ikabidi wanicheleweshe wiki.
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  You have a point FF.
   
 5. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watu wako kusubiri mshahara wengi performance ziko chini ya kiwango
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  walikosea sarufi au muundo? kwa mfano waliandika "YOUNG MASTER HAIR AND BEAUTY SALON" badala ya "YOUNG MISTER HAIR AND BEAUTY SALOON"
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Na wewe nae u beauty na u mister wapi na wapi?
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Watarekebisha tu mkuu hata kwa viboko.
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Huu niuzembe uliopea. Sio siriwanastahili adhabu. We ngoja nikienda Dar naenda kuwasha moto BRELA. Mtaniona kwenye vyombo vya habari.
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  walikosea sarufi na jina la biashara halikukamilika
   
Loading...