Elections 2010 Hivi jamani kikwete anazungumzia nini kuhusu shirika la ndege

Democrasia

Member
Feb 1, 2008
79
3
:violin:Jamani sijasikia huyu mkuu wa nchi akisema lolote kuhusu shirika letu la ndege alilolikuta na analoliacha!!!!!!:focus:
 
Sasa kama hata alichokikuta amekimaliza je ataweza kuleta kingine?
jamani tuliangalie hili jambo kwa ukaribu
 
Kikwete: "Mkinichagua Nitajenga uwanja wa ndege Kigoma"

Tunajua ndege za ATC ni magofu ya kulala panya. Lakini rais anapoahidi atajenga uwanja wa ndege anakuwa na maana gani?

Kikwete ni mtoto wa Pwani. Anajua nahau na misemo vizuri sana. Na masihara anayajua vilevile.

Usishangae ukiambiwa anachomaanisha ni kujenga uwanja wa 'Ndege-Pori'
 
Nakubaliana nawe ndugu, lazima tu we macho sana na maneno/ahadi za JK. Nyingi usanii. Baada ya kuiua ATC cha ajabu wakaanza kuhaha kutafuta UBIA KENYA AIRWAYS, wale jamaa waliwajibu vyema "CHARITY STARTS AT HOME" ie kwa nini msianze ubia na PRECISION AIR ambayo sisi ni wabia mnakimbilia kwetu? Wakati huu serekali ilishaanza propaganda kuwa PRECISION ni ya KENYA...hadi CEO wa Precision aliposema kuwa KENYA AIRWAYS WANA HISA 25% tuuu, tangu hapo SEREKALI KIMYAAAAAAAAAAAAA...sasa wamakuja na mpya KUNJENGA UWANJA WA KISASA MBEYA wakati wa DSM wenyewe issue. Lol. Haitachukua mda kabla Makamba na wengine kusema kuwa ALIKUWA ANATANIA TUU.

KULA YAKO POKEA TOKA CCM, KURA YAKO WAPE CHADEMA
 
Nimeipenda hii: Kula yako pokea toka CCM, kura yako wape CHADEMA. Imetulia!
 
Back
Top Bottom