Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Ndugu zangu wana JF,
Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Bw. Philemon Luhanjo amefikisha umri wa kustaafu. Kama ndivyo, mbona anaendelea na kazi tu? Au Rais ana madaraka ya kikatiba ya kuamua KMK wake aendelee kadri anavyoona inafaa? Tafadhali naomba wana JF hususan wajuzi na wataalam wa mambo haya wanifahamishe.