Hivi jamani bee keeping science...

Elie zer

Member
Sep 20, 2021
74
67
Naomba kuuliza,
Bs in bee keeping science and technology
inaajira kwa sasa kweli???!! Na kama haina ajira, mtu anaweza kujiajiri baadae???!! Na kama issue ni possible, haitohitaji capital kubwa??!! Nawasilisha!
 
Utakuwa Afisa nyuki
Ukikosa Basi utakuwa
Mfugaji mzuri Sana wa nyuki
Kama ni UDSM kamata
Food sciences
Agrobusiness
Chemistry
 
Naomba kuuliza,
Bs in bee keeping science and technology
inaajira kwa sasa kweli???!! Na kama haina ajira, mtu anaweza kujiajiri baadae???!! Na kama issue ni possible, haitohitaji capital kubwa??!! Nawasilisha!
Katika kozi ambazo ni kipaumbele katika kujiajiri hiyo naweza sema ipo ndani yake tena haihitaji mtaji mkubwa Sana labda katika uchakataji wa njia za kisasa pia misitu nayo ipo ya kutosha yenye nyuki wengi.

Kwa sababu jamii ya Sasa ni ya magonjwa ambayo wataalamu wa afya wanashauri tule asali kwa wingi kwahyo pia ufugaji wa nyuki watu wengi hasa vijana na wazee wamejikita katika ufugaji wa nyuki hili kujiingizia kipato na kujikwamua kiuchumi.

Pia wapo na kina mama nao hawajaachwa nyuma katika ujasiriamali wa ufugaji wa nyuki na uchakataji wa asali.
 
Hapo nimekupata!! Nashukuru kwa ufafanuzi!!
 
Back
Top Bottom