Hivi jamaa wa Usalama wa Kijiji wanamuhujumu mkuu wa kaya?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Je,si kweli kuna jamaa wa usalama wa kijiji wamemchoka jamaa na sasa wameamua kumuhujumu kwa kuvujisha siri na mambo mengine nyeti kwa umma?

Hivi hali hii ni ya kawaida kweli?

Je,kuna siri tena hapa?
 
Nenda pale Makumbusho gonga geti lile jeusi ambalo walinzi wake ni wanajeshi, halafu walulize hayo maswali, hawana shida watakujibu vizuri tu bila tatizo lolote lile!
 
Nenda pale Makumbusho gonga geti lile jeusi ambalo walinzi wake ni wanajeshi, halafu walulize hayo maswali, hawana shida watakujibu vizuri tu bila tatizo lolote lile!

teh teh teh, naa kweli, jibu zuri sana aache kutupotezea time zetu
 
Aisee hao jamaa hata siku moja usilale ukaota kuwa iko siku wataja isaliti nchi.Nasikia jamaa wamepikwa kinoma na hawawezi thubutu kufanya hivyo hata kidogo. WaTISS ni zaidi ya uwajuavyo kaka, usijipe moyo!
 
Kupikwa ilikuwa enzi hizo ila siku hizi hamna maadili.

Kila mtu siku hizi ana bei yake na kuna wachache wazalendo wasionunulika.

Jiulize,hivi kubenea na gazeti lake walipata wapi zile taarifa nyeti kuhusu mtejaji wa Dr.Ulimboka?

Huo ni mfano mmoja tu tena wenye kuwahusu wao wenyewe.

Think twice brother.
 
Back
Top Bottom