Hivi Jaji Kiongozi hawezi kusikiliza kesi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Nawasalimu kwa jina la JMT

Hivi katika utaratibu wa mahakama Jaji Kiongozi hawezi kusikiliza kesi?

Najua yuko Mtendaji mkuu wa mahakama ambaye ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za kiutawala.

cc: Pascal Mayalla
 
Acheni kuzidi kuwachefua watu, mpango wenu umekuwa endelevu Kwa miaka sasa, hivyo yaliyotokea Sasa ni sehemu tu ya mipango ovu dhidi ya walengwa Kwa muda wote huo, hivyo hatuhitaji maigizo yoyote.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nawasalimu kwa jina la JMT

Hivi katika utaratibu wa mahakama Jaji Kiongozi hawezi kusikiliza kesi?

Najua yuko Mtendaji mkuu wa mahakama ambaye ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za kiutawala.

cc: Pascal Mayalla
Hakuna jaji ni takataka tupu... si ajabu hata degree yake ni kutoaka vyuo vya kata na pass za Karai
 
Nawasalimu kwa jina la JMT

Hivi katika utaratibu wa mahakama Jaji Kiongozi hawezi kusikiliza kesi?

Najua yuko Mtendaji mkuu wa mahakama ambaye ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za kiutawala.

cc: Pascal Mayalla
Kama Jaji mkuu anasikiliza kesi ndio sembuse Jaji Kiongozi?

Jibu ni ndiyo anaweza kusikiliza kesi. Kwa hili la Mbowe ni mazingaombwe ya ccm tu ambayo tumeyazoea lakini uvumilivu unaelekea ukingoni.
 
Uelekeo wa kesi unapatikana kwa zawadi, naombeni wa juzi watufafanulie vile rushwa inaweza kuwa.
 
Back
Top Bottom