Hivi itakuwaje siku Watanzania wakiacha kuhudhuria katika nyumba za ibada?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
kuna baadhi ya vitu nimekuwa nikijiulizaa

ivi unadhani ni kitu gani kitatokea endapo asilimia kubwa ya watanzania wataacha kuhudhulia ibada makanisani na misikini kwa kipindi cha miaka kumi au muda mrefu yaani hiyo siku unakuta viongozi wa dini mashehe,mapadri wanashangaa waumini waoo hawaonekani makanisani na misikini,

inafika hatua kila siku ya ijumaa misikitini watu hawaonekani, jumapili makanisani watu hawaonekaniiiiiiiiii

hebu tupe maoni yakooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makanisa ya wapigaji watakufa njaa walahi ila makanisa yenye nguzo imara kama rc na lutheran yatasimama imara daima walahi, misikiti nayo itaendelea kusimama imara walahi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hata RC watu hawaonekani,

misikini nakooo watu hawaonekani,

na huko kwingine kote waumini wamegoma kwendaaaaaaa

sasa wataanzaje kusimama imara
Kuna makanisa ya wapigaji watakufa njaa walahi ila makanisa yenye nguzo imara kama rc na lutheran yatasimama imara daima walahi, misikiti nayo itaendelea kusimama imara walahi,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makanisa ya wapigaji watakufa njaa walahi ila makanisa yenye nguzo imara kama rc na lutheran yatasimama imara daima walahi, misikiti nayo itaendelea kusimama imara walahi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo Makanisa Na Misikiti Itasimamaje Imara Wakati Waumini Wake Hawatakwenda Kusali? Halafu Ni Wapi Ambapo Hakuna Wapigaji? Mbona Rc, Lutheran Na Misikiti Inaongozwa Na Watu Wanaohitaji Sadaka Ili Kuishi? Wapigaji Kote Wapo Tu.
 
Unachekesha
Huko bado kuna waumini na kuacha imani bado sana
Mfano wako upo Ulaya ambapo makanisa yameuzwa na kufunguliwa biashara mpaka za matairi na supermarket
Na maisha yanaenda
Na huko ikifikia huko hautaona utofauti

Sent from my SM using Tapatalk
 
Back
Top Bottom