Hivi itakuwaje Odinga akishiriki kampeni za kuiangusha CHADEMA mkoani Mara kwa ndugu zake ?

Waluo ni sehemu ndogo mkoa wa Mara? Unaota ndoto ya mchana. Jimbo la Rorya 70% ni wajaluo, Jimbo la Tarime wamo na huko ndo CHADEMA wana wafuasi
Mkuu wajaluo ,wakurya, wagita wote ni sawa na jamii moja

Na hata tamaduni zao zinaendaga I think tusubili 2020 tuone nguvu ya RAILA MKOANI mara
 
Wakati wa uchaguzi nchini Kenya tuliweza kuona Lowassa akishiriki kampeni kumnadi Uhuru na kukinadi chama cha Jubilee pale Lowassa alipoenda kuongea na ndugu zake kuiangusha NASA.

Je upande wa Raila Odinga itakuwaje akija kushiriki kampeni za uchaguzi pale atakapongea na ndugu zake wajaluo, wakurya na wagita mkoani Mara kuiangusha CHADEMA kwa kufanya kampeni za kikabila kuingusha CHADEMA.

Lakini ikumbukwe ya kwamba mkoa Mara CHADEMA ina majimbo matano na asilimia kubwa eneo hilo ni ndugu wa Raila Odinga ,

Je CHADEMA watapona kweli 2020 Raila akishiriki ?
Itakua poa tu tatizo liko wapi? Wajinga watakua hao watakaomsikiliza mtu toka nje aje kuwaambia nani anafaa awaongoze
 
Wakati wa uchaguzi nchini Kenya tuliweza kuona Lowassa akishiriki kampeni kumnadi Uhuru na kukinadi chama cha Jubilee pale Lowassa alipoenda kuongea na ndugu zake kuiangusha NASA.

Je upande wa Raila Odinga itakuwaje akija kushiriki kampeni za uchaguzi pale atakapongea na ndugu zake wajaluo, wakurya na wagita mkoani Mara kuiangusha CHADEMA kwa kufanya kampeni za kikabila kuingusha CHADEMA.

Lakini ikumbukwe ya kwamba mkoa Mara CHADEMA ina majimbo matano na asilimia kubwa eneo hilo ni ndugu wa Raila Odinga ,

Je CHADEMA watapona kweli 2020 Raila akishiriki ?
Mnaonaje CCM mkisimamisha Odinga katika kiti cha ubunge mkoa wa Mara 2020?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom