Hivi itakuaje kama JUA ndio jehanamu / ziwa liwakalo moto?

Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!

Hivi wakuu jua mnalionaje?
Kwa mujibu wa fizikia ya sasa na kwa kuangalia nyota nyingine zilizo kama jua, jua haliwezi kuwaka milele. Litamaliza nuclear fusion inayolifanya liwake katika miaka takibani bilioni 4.5 ijayo.

Jua ni nyota, linaonekana kubwa hivyo kwa sababu ni nyota iliyo karibu tu.

Niliwahi kulifikiria hili kitambo sana,

Japo siamini, maana vitabu vitakatifu vinasema siku za mwisho, Jua litatiwa Giza, litakuwa jeusi kama gunia la singa.
Na mwezi utakuwa mwekundu kama damu!
 
Mkuu miaka billioni si ndio milele yenyewe iyo aaaah

Mkuu hii article ni kabambe so wataweza kufuse out iyo energy kwa scientific ways au sio
 
Ebanaeeee ....mimi sio mnazi sana kwenye theolojia kwaio tuwaze moto mwengine ila sio ule

Mimi naona kama vile kuvuka miaka 500 ijayo tu ni kashehe.

Ma coronavirus na ma global warming yanaweza kutumaliza mapema sana kabla ya hilo jua kuanza kasheshe zake.

Kwa kweli kitu muhimu ni kuwa na uwezo wa kusafiri kati ya nyota moja na nyingine (interstellar travel) ili kikinuka sayari moja, watu waweze kwenda kutafuta makazi kwenye sayari nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom