Hivi issue ya sophia simba na chadema imefikia wap? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi issue ya sophia simba na chadema imefikia wap?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPA, Apr 4, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mwezi uliopita kabla ya habar ya babu kuteka wanahabari n wa tz kiujumla, kulikuwa na issue ya sophia simba kuishutumu chadema inataka kuleta vurugu na uvunjifu wa amani na pia inafadhiliwa na nchi za magharibi. Chadema wakasema wanakusudia kumpeleka sophia simba mahakamani. Tangia hapo nimeona kimya, huo mpango umepotelea hewan au bado wanakusanya ushaidi?
   
Loading...