Hivi ipo siku kweli na sisi tutakuwa nayo hii radar-VORONEZH RADAR

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,091
21,491
Ni vigumu kuamini kuwa kitu kama hiki kipo duniani lakini ndo ukweli wenyewe kuwa warusi si watu wa kawaida hata kidogo, muda mwingine unaweza ukasema awa jamaa ni wachawi maana vitu wanavyovitengeneza ni ngumu sana kutengenezewa sehemu nyingine duniani.

Voronezh radar ni radar ambayo kwa sasa aina mpinzani dunia nzima kutokana na ufanyaji kazi wake.

Country of origin -Russia
Introduced -2009
Number built -4 operational in 2012, others planned
Type- Phased array Early-warning
radar
Frequency Voronezh-M: 150–200 MHz
( VHF)
Voronezh-DM: 0.1 m wavelength
( UHF) [1]
Range Up to 10,000 km [2]
Power Claimed 0.7 MW consumption [3]
[4]
Other Names 77YA6.
Yaani ina uwezo wa kuona kutoka Urusi hadi Tanzania. Inamaana kama tukiwa nayo tuna uwezo wa kuona Ulaya nzima pamoja na mabara mengine, urefu wa hii radar ni sawa na jengo la ghorofa 15. Tukiwa na kitu kama hiki lazima ujivunie.
 

Attachments

  • 1463719058438.jpg
    1463719058438.jpg
    31.1 KB · Views: 83
Distance between Cape Town and Cairo is 12,418.6 km.
Distance To Cape Town From Cairo is
4500 miles / 7242.05 km / 3910.39
nautical miles
Current time in Cairo :
Fri, 20 May, 2016, 11:00 AM +02:00
Current time in Cape Town :
Fri, 20 May, 2016, 11:00 AM +02:00
Time in Cairo and Cape Town are same.
Cairo - Lat: 30.05, Long: 31.25
Cape Town - Lat: -33.9167, Long: 18.4167
iyo ya kwako umeipata wapi?
 
ni vigumu kuamin kuwa kitu kama hiki kipo dunian lakini ndo ukweli wenyew kuwa warusi si watu wa kawaida hata kidog,muda mwingine unawez ukasem awa jamaa ni wachawi maan vitu wanavyovitengenez ni ngum san kutengenezw sehem nyingine duniani.Voronezh radar ni radar ambayo kwa sasa aina mpinzani dunia nzima kutokan na ufanyaji kazi wake.
Countryof origin -Russia
Introduced -2009
Number built -4 operational in 2012, othersplanned
Type- Phased array Early-warning
radar
Frequency Voronezh-M: 150–200 MHz
( VHF)
Voronezh-DM: 0.1 m wavelength
( UHF) [1]
Range Up to 10,000 km [2]
Power Claimed 0.7 MW consumption [3]
[4]
Other Names 77YA6.
yani ina uwezo wa kuona kutoka urusi hadi Tanzania.inamaan kama tukiw nayo tuna uwezo wa kuona ulaya nzima pamoj na mabara mengine,urefu wa hii radar ni sawa na jengo la ghorofa 15.tukiw na kitu kama hiki lazim ujivunie

unataka uone ulaya kwa radar?! lipa tu nauli uende ukaine live, sisi shida yetu ni sukari
 
Distance To Cape Town From Cairo is
4500 miles / 7242.05 km / 3910.39
nautical miles
Current time in Cairo :
Fri, 20 May, 2016, 11:00 AM +02:00
Current time in Cape Town :
Fri, 20 May, 2016, 11:00 AM +02:00
Time in Cairo and Cape Town are same.
Cairo - Lat: 30.05, Long: 31.25
Cape Town - Lat: -33.9167, Long: 18.4167
iyo ya kwako umeipata wapi?

Nimekupata

Zangu nimezipata kwa actual road travel na sio njia ulioitumia wewe.

Angalia yangu

Cairo to J'burg.PNG


Na yako

Cairo.PNG
 
mohamedi na bavaria wote mpo sahihi kuna flight distance na road distance wote mpo sahihi kupata distance ya cape to cairo...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom