Hivi interest rates za `Fixed Acount’ ni kiasi gani kwa Tsh. milioni 100?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,572
Jamani napenda kujua Interets Rate za Fixed Account kwa Bank zifuatazo kwa mwaka kwa kiwango cha Million 100.
Bank ABC
Equity Bank
Finca microfinance
DCB bank

Nashukuru kwa kushare taarifa
 
Jamani napenda kujua interets rate za Fixed Account kwa Bank zifuatazo kwa mwaka kwa kiwango cha Million 100.
Bank ABC
Equity Bank
Finca microfinance
DCB bank
Nashukuru kwa kushare taarifa
Kabet, utapata return kubwa zaidi
 
Jamani napenda kujua Interets Rate za Fixed Account kwa Bank zifuatazo kwa mwaka kwa kiwango cha Million 100.
Bank ABC
Equity Bank
Finca microfinance
DCB bank

Nashukuru kwa kushare taarifa
Finca huwa ni 15% pia wanakubali negotiations.
 
Back
Top Bottom