hivi inshu ya kutimuliwa uwaziri ni ndogo kuliko zitto kutimuliwa unaibu katibu mkuu????

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
nkikumbuka jinsi ccm walivyo livalia njuga swala la zito utimiliwa unaibu chadema sidhani kama mzani wake wafanana na huu wa hawa mizigo kutimuliwa ccm ,yaani kiurahisi nazidi pata picha uhusika wa ccm kwenye sakata la zitto ,,kweli chadema wanabusara za hali ya juuu sana,kama ndio ingekuwa ccm hapo wangesha anza kununua watu wasio jitambua wajitwishe mabango yaliyo andikwa wasicho kijua,tena maskini ya mungu wengine waliyabeba hata kusoma hawajui lol!!
 
Ishu ya uwaziri ni ndogo sana lakini ya zitto kwasababu inauwa chama kabisa ndiyo maana inapewa kipao mbele.
 
nkikumbuka jinsi ccm walivyo livalia njuga swala la zito utimiliwa unaibu chadema sidhani kama mzani wake wafanana na huu wa hawa mizigo kutimuliwa ccm ,yaani kiurahisi nazidi pata picha uhusika wa ccm kwenye sakata la zitto ,,kweli chadema wanabusara za hali ya juuu sana,kama ndio ingekuwa ccm hapo wangesha anza kununua watu wasio jitambua wajitwishe mabango yaliyo andikwa wasicho kijua,tena maskini ya mungu wengine waliyabeba hata kusoma hawajui lol!!
Uonevu,manyanyaso na zuluma alizofanyiwa zito ni zaidi ya unyama ndiyo maana inapewa kipao mbele.
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba cdm ni jabali, jabali zito mno.
 
nkikumbuka jinsi ccm walivyo livalia njuga swala la zito utimiliwa unaibu chadema sidhani kama mzani wake wafanana na huu wa hawa mizigo kutimuliwa ccm ,yaani kiurahisi nazidi pata picha uhusika wa ccm kwenye sakata la zitto ,,kweli chadema wanabusara za hali ya juuu sana,kama ndio ingekuwa ccm hapo wangesha anza kununua watu wasio jitambua wajitwishe mabango yaliyo andikwa wasicho kijua,tena maskini ya mungu wengine waliyabeba hata kusoma hawajui lol!!

mawaziri-dec21-2013.jpg
Hilo umenena hawa wa book seven hutawaona katika mada hii kwa vile umewaumbua.
 
Watajadili nini! Wao kila dhaifu la cdm ni kete ya kisiasa kwao. Hawana mapenzi na zitto kama wanavyotaka kuaminisha uma kwa sasa. Wamevaa sura za "mahaba ya muda kwa zitto" ili kupalilia kaa la moto.
 
Back
Top Bottom